Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Really, the truth is some well established brokers operating here are swindling Tanzanians their hard earned money by manipulating market feed making it almost impossible to make profits. Be warned soon truth will out.
 
Ohooo!! Shiit! I'm I late?

Ohooo!! Shiit! I'm I late?
tulia wewee
2018-06-06 09.43.40.png
 
Kwa wale wanaohitaj bonus ya kuanza kutrade 30$ pm me....i ll direct u...ukiishapata unadraw pesa yako haina haja ya kudeposit hela yako ww unatoa faida yako anaweka kwa broker unayemtaka au kutrasfer to another trading account..
Sorry sijakupata vyema...hiyo faida nikiiroa siwezi kuitumia kwa matumizi yangu binafsi? mfano vocha..nauli za hapa na pale?
Coz kuna pahala umesema unaiweka kwa broker unayemtaka.
Fafanua pls
 
Sorry sijakupata vyema...hiyo faida nikiiroa siwezi kuitumia kwa matumizi yangu binafsi? mfano vocha..nauli za hapa na pale?
Coz kuna pahala umesema unaiweka kwa broker unayemtaka.
Fafanua pls
Yeah mkuu unatoa hapo utaamua ww unafanyaje nayo....choice is yours eg matumiz yako binafsi or kuweka kwa broker mwingine uendelee kutrade
 
Back
Top Bottom