xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Haiwezekani kabisa. Point kubwa sana umeongeaKuna kitu najiuliza...mfano mimi nimeingia ubia na Jamaicans nikawaleta Bongo, baadae tukavurugana nikachukua hela kutoka kwenye akaunti ya kampuni nikajitoa. Baada ya hapo hawa jamaa wakaanza kunitafuta kwa nguvu zote. Je ninaweza kuthubutu kwenda kutembea Jamaica?!!