Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Wote wako vizuri ,tofauti Tickmill mtaji wa kuanzia minimum anahitaji $100 wakati templer yeye hata $1 anakubali
Dah tickmil ad 100$ na mimi mtaji wang uko chin ya hapo na tena nimeugawanya kwenye account mbili tafauti[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kuna kipindi nilipiga kelele na kumpinga sana huyu jamaa Ontario sababu niliona ni msanii tu, lakini wengi walinishambulia kwa matusi kama vile nawazibia fursa ya kutengeneza mapesa katika forex trading.
Hii forex trading ni kitu kimekuwapo miaka mingi na kama ingekuwa ni easy money, basi wazungu wote wangejiusisha nayo. Lakini ni wachache wanao deal nayo maana wanaofaidika zaidi ni brokers. Huyu Ontario aliwaingiza watz kwenye kamali fulani bila wao kujua.
 

Kijana mdogo (25 years)
Amekuzidi maendeleo ya kila kitu.
 
Muacheni tu pesa za lawama huwa zinalaana. Ukitaka pesa nzuri na itakayozalisha generational wealth kwako na kwa kizazi chako acha dhuruma na kuibia wengine..... Pesa ya dhuruma huwa haiishi muda mrefu sana na huwa ina laana.

So anaweza kutoboa sasa hivi ila huko mbeleni haya machozi ya aliyowachangisha yatakuja kumuandama yeye na kizazi chake.... Ndio ile unashangaa mtu akidedi tu kila kitu kinatapanywa na ndugu na familia yake wanafilisika...
 
Inaonekana kila mtu alikua anaongea kitu ambacho kwa wakati ule ni lazima umlaumu. Ukweli umekuja kujulikana mmoja wa wale wa South Createn ndio alimuingiza mjini jamaa. Ontario alivyo react ndio akapata nafasi ya kumchafua kwa kuandika ivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…