Achana nae huyo "" usikute ndio Ontario mwenyew kaja na I'd fake "" hawakawii kufanya hivyo hao na misukule yao wa TMTUna share tmt mkuu, maan ni ww mwnyw unamtetea!!,,, dogo kashashtukiwa sku nyingi kwmb ni tapeli, we unafkr anasingiziwa????!!
Usiamini mtu. Wewe chunga chako tumie nitajuaje hio message ni original na sio imetungwa kumchafua mtu wa watu?
ha hahaaa..usinikumbushe hiyo kauli mbiu....wakati mwanzo walisema kuwa "" FX ni kitu simple ambacho " kinaweza kufanyiwa trading. hata na darasa la saba"" baada ya kuona watu wanalalamika kuumizwa kuwa wanaunguza mno acc zao "" ndio nao wakaibuka. na hiyo kauli mbiu...daahh"" Jamaa kweli wana PHD YA UTAPELI AISEForex is not for everyone haka kamsemo natumaini nitakaona hapa
saaanaAna akili nyingi
Aiseeee"" kweli yajayo yanafurahisha ""Achana na ile BMW 0 km, hivi majuzi mshkaji kavuta apartment mpya huko kwao kwa Madiba.
Hela ndogo ndogo za maskini ndio zinaletaga utajiri...muulize Mo au Bakhresa kama walishapiga hela za matajiri? Wanapigaga hizi ndogo ndogo za maskini.
Heko mentor mwenye panki kama shabaranksi.View attachment 777029
waswahili wanasemaahuwa anajikadiria nguvu ya vibao/kibao anachojipiga ""
[emoji16] [emoji16][emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Na wewe umepigwa mkuu? Pole zako! Keep on trading guy! The mo you lose the mo you learn!
ha hahahahaWe wala huna haja ya kusumbuka kuamini, we endelea tu kuwekeza kwenye hiyo forex, hata kama kasepa nazo kesho uta trade za kutosha tu, hahaaaahaaaaaaaa
Hahahahahaha ila mi na furaha sanaha hahaaa..usinikumbushe hiyo kauli mbiu....wakati mwanzo walisema kuwa "" FX ni kitu simple ambacho " kinaweza kufanyiwa treding. hata na darasa la saba"" baada ya kuona watu wanalalamika kuumizwa kuwa wanaunguza mno acc zao "" ndio nao wakaibuka. na hiyo kauli mbiu...daahh"" Jamaa kweli wana PHD YA UTAPELI AISE
naaam Jamaa ni genius maandishi "" sema " mimi nilimshitukia aisee"" yeye na mwenzie "" habib hanga daaah wale jamaa nuksi sana" aissseeeYule dogo Ontario huwa akiandika anahakikisha anaziba mianya yote ya maswali na doubts juu yake hivyo unakuwa huna option ya kukataa zaidi ya kumuamini tu. Style hizi za uandishi wanabarikiwa wachache tu.
He is simply talented.
tutakudunda ujue ..watu tumeliwa pesa zetu "" unatucheka tenaHahahahahaha ila mi na furaha sana
daaah"" Fanya na sisi tuje n program yetu tuweze kupuna pesa za watanzania...kabla ccm haijatoka madarakani "" maana ukija utawala mpya...utakuwa unatolea macho issue za magumashi + so hatutopata fursa ya kupiga pesa ndefu "" huu ndio wakati babawaswahili wanasemaa
"Kingiacho mjini si haramuu!"
na
"Kumuwashia taa kipofu ni kuharibu mafutaa"
Acha wakomae na akili zao sasa!..😀
Hahahaha nimecheka balaa hahahaNi huyu hapa Ndezi mmoja hivi Ushauri: Mimi mwajiriwa serikalini, nataka nichukue mkopo (kwa kutumia ajira yangu) kisha niache kazi
Kasome thread zake ucheke upasuke kama ana undugu na Deo kisandu vile.
Acha tu nicheke jamani,jangid bado ipotutakudunda ujue ..watu tumeliwa pesa zetu "" unatucheka tena
Ni kweli. Hata karani wa halmashauri ya wilaya anapotowa fedha kwenye account ya halamashauri ni zake kwani ameweza kuzitoa
Hahah Hivi mkuu hauhisi labda ndg Habib na Ontario walikua wanajuana kitambo tu nje ya JF na hata kujiunga hapa Jf kwa hao wawili huku kila mtu alijifanya anajiunga kwa muda wake na kama vile hawajuani hivi walifanya hivyo purposely?naaam Jamaa ni genius maandishi "" sema " mimi nilimshitukia aisee"" yeye na mwenzie "" habib hanga daaah wale jamaa nuksi sana" aissseee