Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Ontario adaiwa kusepa na Mamilioni ya Wana-Forex

Una share tmt mkuu, maan ni ww mwnyw unamtetea!!,,, dogo kashashtukiwa sku nyingi kwmb ni tapeli, we unafkr anasingiziwa????!!
Achana nae huyo "" usikute ndio Ontario mwenyew kaja na I'd fake "" hawakawii kufanya hivyo hao na misukule yao wa TMT
 
Forex is not for everyone haka kamsemo natumaini nitakaona hapa
ha hahaaa..usinikumbushe hiyo kauli mbiu....wakati mwanzo walisema kuwa "" FX ni kitu simple ambacho " kinaweza kufanyiwa trading. hata na darasa la saba"" baada ya kuona watu wanalalamika kuumizwa kuwa wanaunguza mno acc zao "" ndio nao wakaibuka. na hiyo kauli mbiu...daahh"" Jamaa kweli wana PHD YA UTAPELI AISE
 
Achana na ile BMW 0 km, hivi majuzi mshkaji kavuta apartment mpya huko kwao kwa Madiba.

Hela ndogo ndogo za maskini ndio zinaletaga utajiri...muulize Mo au Bakhresa kama walishapiga hela za matajiri? Wanapigaga hizi ndogo ndogo za maskini.

Heko mentor mwenye panki kama shabaranksi.View attachment 777029
Aiseeee"" kweli yajayo yanafurahisha ""
 
ha hahaaa..usinikumbushe hiyo kauli mbiu....wakati mwanzo walisema kuwa "" FX ni kitu simple ambacho " kinaweza kufanyiwa treding. hata na darasa la saba"" baada ya kuona watu wanalalamika kuumizwa kuwa wanaunguza mno acc zao "" ndio nao wakaibuka. na hiyo kauli mbiu...daahh"" Jamaa kweli wana PHD YA UTAPELI AISE
Hahahahahaha ila mi na furaha sana
 
Yule dogo Ontario huwa akiandika anahakikisha anaziba mianya yote ya maswali na doubts juu yake hivyo unakuwa huna option ya kukataa zaidi ya kumuamini tu. Style hizi za uandishi wanabarikiwa wachache tu.

He is simply talented.
naaam Jamaa ni genius maandishi "" sema " mimi nilimshitukia aisee"" yeye na mwenzie "" habib hanga daaah wale jamaa nuksi sana" aissseee
 
kama kafanya hivyo, nampongeza, ana akili nyingi sana kuweza kuwavuta wasomi na watu werevu hadi wakaingia king na kumpatia pesa njenje akaondoka nazo.
 
waswahili wanasemaa
"Kingiacho mjini si haramuu!"
na
"Kumuwashia taa kipofu ni kuharibu mafutaa"
Acha wakomae na akili zao sasa!..😀
daaah"" Fanya na sisi tuje n program yetu tuweze kupuna pesa za watanzania...kabla ccm haijatoka madarakani "" maana ukija utawala mpya...utakuwa unatolea macho issue za magumashi + so hatutopata fursa ya kupiga pesa ndefu "" huu ndio wakati baba
 
dah kila nikiona nyuzi kama hizi nakumbuka nilienda Jangid plaza na hela yangu ya training, sikutaka mtumia JP market nikamwambia dada ongea na jamaa nilipie training tu alivyompigia simu jamaa akakaza nikasema potelea mbali nikaweka pesa yangu mfukoni nikatimka sasa hivi hizi habari zinanifanya nigundue yale hayakutokea bahati mbaya
 
naaam Jamaa ni genius maandishi "" sema " mimi nilimshitukia aisee"" yeye na mwenzie "" habib hanga daaah wale jamaa nuksi sana" aissseee
Hahah Hivi mkuu hauhisi labda ndg Habib na Ontario walikua wanajuana kitambo tu nje ya JF na hata kujiunga hapa Jf kwa hao wawili huku kila mtu alijifanya anajiunga kwa muda wake na kama vile hawajuani hivi walifanya hivyo purposely?

Unakumbuka ile Story the bold anampamba Ontario eti Mpk boss wa Usalama wa Taifa walikua wanampigia simu dogo sijui wanamuogopa,story kibao.

Najiuliza hivyo sababu baada ya TMT kupiga hela huyo the bold story zake zikapungua na akateleza mazima humu jf.
 
Back
Top Bottom