Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Naomba usituambie hivyooo uje na pesa majivu acha jikoniiForex sasa si ndo acc zishaungua ntakuja na majivu labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba usituambie hivyooo uje na pesa majivu acha jikoniiForex sasa si ndo acc zishaungua ntakuja na majivu labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Forex ni biashara inayojitegemea. Kwanini umlaumu Ontario kwa kushindwa kuendesha biashara yake? Ama una share TMT? Ama vipi hapo?Hahahahah kumbe umefurahi basi endelea kufurahi
Mimi TMT sikuwahi enda forex nimejifunza kwa kujisomea mwenyewe vitabu na naifanya kimya kimya .
Simdai Ontario hata sumni ila namlaumu kwa kushindwa kukeep good image ya forex
Leo hii mmeibuka watu kama nyie
Eeeh bwana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzigua90 ni kidume [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mnoo
Hapana mkuu utapambana na hali yako tuForex sasa si ndo acc zishaungua ntakuja na majivu labda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda zako katrade mwaya achana na sisi darasa la saba hatujui chochoteKuchambana na vilaza waliofeli shule ni kupoteza muda.
Worse enough muda wa kazi huu...
Let me mind my fu*cking business.
Ngoja niweke kama signature yangu 😎 😎 😎 😎Forex is not for everyone 😀[emoji23]
Hata ningekua hensham?Kama hana mahela apambane na hali yake
Umeona post ya bhachu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nenda zako katrade mwaya achana na sisi darasa la saba hatujui chochote
Mfyuuuuuuuuu shenzy zako [emoji23][emoji23] nisijue tu kama ulimalizia mahela yako forexHata ningekua hensham?
Nitake radhi mi watoto wapi na wapi.Yani hapo ushatamani umtafute mzitumie sasa[emoji23] [emoji23]
Are you everyone!?[emoji23]Ngoja niweke kama signature yangu 😎 😎 😎 😎
Nikuambie kitu ukitaka kuchekaa na kuongeza siku tafuta nyuzi za forex utacheka mnoo tena baba swalehe hayupo heeee andaa mbavu tuDah mie mgeni humu ila nimecheka sama...mama sabrina na engneer wanavochambana.
Ngoja niongeze siku za kuishi mie
Padre mpenda pesa za haraka basi.boya flani anajiita padre lakini Shekhe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu utapambana na hali yako tu
Nimeona bwana. Sasa wao walikua wanafundishwa trading. Ina maana walikua na mkataba nae hata baada ya kumaliza kufundishwa. SielewiiUmeona post ya bhachu hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mfyuuuuuuuuu shenzy zako [emoji23][emoji23] nisijue tu kama ulimalizia mahela yako forex
[emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa kua makini utaolewa