witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Worry out my...sory mamilooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Worry out my...sory mamilooo
Acha wivu wewe mke wa mzungu! Niungishe hata gunia moja la mkaa.Ntataja list ya matapeli wa Forex very soon...
Keep macho kodo here!
Huyo broker wako anapandisha sana spread usiku...kuna harufu ya utapeli hapa....yale yale ya jp market unatuletea tena kuweni na huruma na pesa za watanzania wenzenu wanyonge bana ...I Just share the Love, Good services from best broker in Tz only Templerfx
Hahahaahhaahhahha i real mis uDogo endelea kuosha magari. Hicho anachosema kingekuwa kweli betting company zingekufa.
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.
BAADA YA KUJISAJILI
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo
Nitajie broker asiyepandisha spread usiku Mkuu! Hivi una trade forex au unaadithiwa?Huyo broker wako anapandisha sana spread usiku...kuna harufu ya utapeli hapa....yale yale ya jp market unatuletea tena kuweni na huruma na pesa za watanzania wenzenu wanyonge bana ...
how embu toa fact broTempler sio broker, ni Market Maker broker
Templer sio broker, ni Market Maker broker
Hawa templer ni ECN ?Lete ushahidi wacha porojo zako
Huo Ndio ushahidi?Hawa templer ni ECN ?
Mi nimeuliza mzee maana sijui chochote kuhusu huyo brocker.je huyo brocker ni ecn?Huo Ndio ushahidi?
huyo templer anapandish mno kuna broker wazuri kama tickmill hawapandishi sana usiku...templ3r ni tapeliNitajie broker asiyepandisha spread usiku Mkuu! Hivi una trade forex au unaadithiwa?
Nimekuambia ulete ushahidi, simple!huyo templer anapandish mno kuna broker wazuri kama tickmill hawapandishi sana usiku...templ3r ni tapeli
Ukitaka kujua templer ni tapeli kaa macho saa sita kamili usiku utaona candlestick formation ambazo hutakaa ujue zimetokea vipi? Yaan hata ujaribu kulazimisha formation yake hazileti mantikihuyo templer anapandish mno kuna broker wazuri kama tickmill hawapandishi sana usiku...templ3r ni tapeli
Taja basi au ushataja nimepitwaNtataja list ya matapeli wa Forex very soon...
Keep macho kodo here!
Haahahahahah hivi we ndio unaulizaga kuwa sasa mmefikia wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Forex,biashara ambayo benki nyingi zisingependa kusika"