My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Kwanza namshukuru Sana kijana mwenzangu kwa kunipa mwanga wa maisha. Kupitia ONTARIO sasa natengeneza mil 7 hadi 10 kwa mwezi. Simjui ONTARIO na wala hanijui na sijawahi kumwona.
Niliwahi kusikia habari za Forex kabla ONTARIO hajaleta mada humu lakini nilipuuza, naomba nikiri kwamba baada ya ONTARIO kuleta habari za Forex humu jamvini, ndio niligutuka kutoka usingizini kuwa nimechelewa. Nilichofanya ni kuanza kujisomea kwa kasi ili niijue Forex huku nikifanya mazoezi kwenye Demo account, wakati huo Nilikuwa Nairobi nikiwa nafanya biashara zangu.
Nilitafuta Broker mwenyewe, Broker bora kabisa, mara ya Kwanza nikaweka pesa ili ni trade, nikala loss, nikatafuta tena Broker mwingine mzuri zaidi, nikaweka pesa ili ni trade nikala loss, nikaweka tena, bado nikala loss, nikarudi kufanya mazoezi Demo account, hapo nikabaini kumbe Nilikuwa sijaiva vizuri kwenye Forex trading ,nilipokuja kuweka pesa tena, oooh nilipiga faida nzuri, hakika Forex ni tamu Sana ukiijua vyema. Na hadi sasa bado napiga pesa nzuri mno, sikosi mil 7 kwa mwezi, hii ni kwa sababu ya Mungu kumtuma ONTARIO.
Turudi kwenye mada.
Ili upige faida Forex ni lazima uwe na Broker mzuri, Broker anayepigiwa debe na ONTARIO hayupo kabisa ktk list ya ma-Broker bora duniani, hapo ndo ONTARIO alichemka sana na kuonekana kumbe alikuwa anapigania maslahi yake binafsi tu na ndio maana nimekuwa kimya tangu alipotuhumiwa humu nikadhani pengine angekuja kujitetea lakini wapi, ni kwa sababu na yeye anajua kuwa alikuwa akitumika kuunguza pesa za watu kwa maslahi yake.
Ndo maana amejikuta akimalizwa kishamba Sana. Endapo angetuliza kichwa, na kuwa na hekima angekuwa balozi mzuri Sana wa Forex Tanzania.
Jambo lingine ni kwamba hakusoma akili za ndugu zake watanzania, hatuna tabia ya kujisomea, tunapenda kutafuniwa na kulishwa, watu wengi walitegemea TMT ndo ingewafanya waijue Forex na siyo sehemu nyingine yoyote na ndio maana walichaguliwa Broker wa hovyo kabisa, scam Broker, hata kuumiza kichwa tu kwamba, je? Hakuna Broker bora kuliko huyu duniani? South Africa hawana ma Broker wazuri wa Forex. Ma Broker bora wa Forex wapo Cyprus na Israel .
Nakushuru Sana mkuu ONTARIO kwa kuniongezea kipato, ila omba Sana Mungu akupe hekima utafika mbali Sana, kinyume cha hapo, you will end up being a looser!