Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Jamaa si anakula commission kwa;
1. Kuwaletea FNB na JP markets wateja;
2. Mazzezzeta kuunguza akaunti. He has nothing to loose
Kabla ya kuwashawishi na kujipigia chapuo waje kupata knowledge kwenu kwa kutoa laki 2 tmt sio mazezeta,,ila baada kutoa laki 2 na training ya siku 5 na kulazimishwa kutumia broker wao kwa maslahi binafsi hatimae kuunguza akaunti leo anaitwa ZEZETA.

Revealing of true colours!;
 
Andiko halina thamani ya milioni 7 kwa mwezi;..wala laki 233,334 kwa siku;...wala kipato cha 19,445 kwa @ SAA moja;...ama Tsh 324 kwa @ dakika moja

Ni abrakadabra ya wavivu...wa kufikiri,na tamaa ya utajiri wa ghafla
 
Naona na wewe ni Tapeli mkubwa, Umekwepa Title yako yote umeanza kujisifia unapata Ml 7 na zaidi hatuwezi kataa ni kawaida

Umeamua kujitangazia wewe binafsi biashara hii sio sahihi, Kama lengo lako ni kurekebisha waambie watu nini walikosea

Kwa kifupi wewe ni mwanafunzi wa TMT kwa ontario

Mwanafunzi hawezi kuwa juu ya Mwalimu wake ila kwa mafunzo maalumu
Nimekutapeli nini ndugu?
Kuwa na Kauli zenye hekima, TMT naisikia tu kwenye mitandao, siijui Kama ambavyo wewe sikujui, Unataka Identity yangu original ili iweje?
Sitangazi biashara hapa na wala sijasema nipewe pesa sasa tatizo lako nini?
Hatuwezi kukaa kimya watu wakipoteza pesa ili yeye afanikiwe na wenzake waharibikiwe, hebu jaribu kuficha upumbavu wako.
 
Back
Top Bottom