screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Nia yake mumuulize haya maswali ili awaingize mjini vizuri, wabongo akili ndogo kweli mtaendelea kulizwa sana kwa njaa zenu. Kalaghabaho!Mkuu ww unatumia broker yupi aise ebu tushirikishe ndugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nia yake mumuulize haya maswali ili awaingize mjini vizuri, wabongo akili ndogo kweli mtaendelea kulizwa sana kwa njaa zenu. Kalaghabaho!Mkuu ww unatumia broker yupi aise ebu tushirikishe ndugu.
Pole na ban[emoji23]
Kamari haina uzalishaji mali wala huduma, mfano mzuri ForexWewe Forex huijui hata kidogo, Forex siyo kamari, kwenye kamari kupoteza pesa ni 100%,wakati FOREX ukiijua kupoteza pesa ni 40%.
Usipotoshe watu, ni bora ukae kimya .
Pole Sana ndugu, na hapa sijasema kila kitu ,eti halina thamani ya mil 7,hiyo pesa unaiona nyingi...surely Trump spoke the truth on us!Andiko halina thamani ya milioni 7 kwa mwezi;..wala laki 233,334 kwa siku;...wala kipato cha 19,445 kwa @ SAA moja;...ama Tsh 324 kwa @ dakika moja
Ni abrakadabra ya wavivu...wa kufikiri,na tamaa ya utajiri wa ghafla
Uzalishaji mali upi mkuu? Mambo yote ni pesa .Kamari haina uzalishaji mali wala huduma, mfano mzuri Forex
MKUU UNATUMIA BROKER GANI.Kwanza namshukuru Sana kijana mwenzangu kwa kunipa mwanga wa maisha. Kupitia ONTARIO sasa natengeneza mil 7 hadi 10 kwa mwezi. Simjui ONTARIO na wala hanijui na sijawahi kumwona.
Niliwahi kusikia habari za Forex kabla ONTARIO hajaleta mada humu lakini nilipuuza, naomba nikiri kwamba baada ya ONTARIO kuleta habari za Forex humu jamvini, ndio niligutuka kutoka usingizini kuwa nimechelewa. Nilichofanya ni kuanza kujisomea kwa kasi ili niijue Forex huku nikifanya mazoezi kwenye Demo account, wakati huo Nilikuwa Nairobi nikiwa nafanya biashara zangu.
Nilitafuta Broker mwenyewe, Broker bora kabisa, mara ya Kwanza nikaweka pesa ili ni trade, nikala loss, nikatafuta tena Broker mwingine mzuri zaidi, nikaweka pesa ili ni trade nikala loss, nikaweka tena, bado nikala loss, nikarudi kufanya mazoezi Demo account, hapo nikabaini kumbe Nilikuwa sijaiva vizuri kwenye Forex trading ,nilipokuja kuweka pesa tena, oooh nilipiga faida nzuri, hakika Forex ni tamu Sana ukiijua vyema. Na hadi sasa bado napiga pesa nzuri mno, sikosi mil 7 kwa mwezi, hii ni kwa sababu ya Mungu kumtuma ONTARIO.
Turudi kwenye mada.
Ili upige faida Forex ni lazima uwe na Broker mzuri, Broker anayepigiwa debe na ONTARIO hayupo kabisa ktk list ya ma-Broker bora duniani, hapo ndo ONTARIO alichemka sana na kuonekana kumbe alikuwa anapigania maslahi yake binafsi tu na ndio maana nimekuwa kimya tangu alipotuhumiwa humu nikadhani pengine angekuja kujitetea lakini wapi, ni kwa sababu na yeye anajua kuwa alikuwa akitumika kuunguza pesa za watu kwa maslahi yake.
Ndo maana amejikuta akimalizwa kishamba Sana. Endapo angetuliza kichwa, na kuwa na hekima angekuwa balozi mzuri Sana wa Forex Tanzania.
Jambo lingine ni kwamba hakusoma akili za ndugu zake watanzania, hatuna tabia ya kujisomea, tunapenda kutafuniwa na kulishwa, watu wengi walitegemea TMT ndo ingewafanya waijue Forex na siyo sehemu nyingine yoyote na ndio maana walichaguliwa Broker wa hovyo kabisa, scam Broker, hata kuumiza kichwa tu kwamba, je? Hakuna Broker bora kuliko huyu duniani? South Africa hawana ma Broker wazuri wa Forex. Ma Broker bora wa Forex wapo Cyprus na Israel .
Nakushuru Sana mkuu ONTARIO kwa kuniongezea kipato, ila omba Sana Mungu akupe hekima utafika mbali Sana, kinyume cha hapo, you will end up being a looser!
Mimi napambana na hali yangu sina kinyongo na mtukwani wewe maisha yanakuendea na shida
Na wewe nenda ukaliwe.Wapenda shortcut sio wa kuwahurumia.Mkuu kama umeliwa Pole.Mpumbavu
Bado una hamu?Asante sn...namtafuta mod aliyenipiga ban
Mara nyingi watu wa TMT huwa hawakubali mapungufu kwa uwazi. Ktk zile nyuzi za forex niligundua hilo. Yaani mara nyingi atatetea forex ya TMT kwa reply au post lakini yakiwekwa mapungufu ya TMT atayakubali kwa like lakini atayapinga kwa reply. Hili lilinifunza kuwa hata wao kuna mapungufu wanayaona "pengine" wanashindwa jinsi ya kuyawakilisha ktk uongozi wao.leo naona mnataka kulana wenyewe kwa wenyew sasa
Waoow thanx dearhatimae witnessj ndani ya nyumba. Nina pole yako special nitafute
I see. Hii inaweza kuwa translated kama ''utapeli mamboleo''...na hapo ndo ONTARIO alichemka sana na kuonekana kumbe alikuwa anapigania maslahi yake binafsi tu na yeye anajua kuwa alikuwa akitumika kuunguza pesa za watu kwa maslahi yake.
Pole utaolewa tu ukizeeka naona Povu itakuwa huna ajira wewe hivyo upo kwenu unajifariji ukidhani wote wapo kama wewe
Umechelewa sana kaza mwendo endelea kujifariji
Angescreenshot hio payment kuthibitisha hio amountAndiko halina thamani ya milioni 7 kwa mwezi;..wala laki 233,334 kwa siku;...wala kipato cha 19,445 kwa @ SAA moja;...ama Tsh 324 kwa @ dakika moja
Ni abrakadabra ya wavivu...wa kufikiri,na tamaa ya utajiri wa ghafla
Hili swali lako ni la mtego snBado una hamu?