kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
move bado ipo on fire.... nilichojifunza kupitia threads zote za forex ni hiki......
1. forex is real
2. watu wanapata wanalose
kwa nini watu wanamuona ONTARIO ni tapeli ?
1. kuwalazimisha watu kutumia broker wao JPmarkets.
2. kuwahadaa watu waweke hela kwenye accounts waanze kupractise real account kwa mafunzi mafupi ya siku tano kitu ambacho sio sawa, walau inatakiwa acheze na demo kwa muda kama miezi mitatu fasta, utapeli upo wapi ? ni pale anapowadanganya waweke hela waanze kutrade then accnt zao zinaungu, broker wake anafaidi kwa hapa lazima apate commision... huu utapeli ni kiwango cha standard gauge.
ushauri kwa Ontario
1. endelea kutoa mentorship kwa kiwango ambacho unaona kinafaa, bcz hakuna kitu cha bure unatumia gharama kubwa za pango, lesseni, kuwaleta kina cre kutoka bondeni n.k
2. kuweni na lugha rafiki wa wateja wenu... kwa zile screen shots zilizowekwa hapa na deadbody unaonekana kiburi sana na lugha mbaya kwa wanafunzi wako, you still umefika, ila bado una safari ndefu sana ya mafanikio.
3. kuna ile audio iliwekwa hapa cre alikuwa anaongea, mara sijui ofisa mmoja alirudi kwa call moja tu, hakuna anaeogopwa zaidi ya JPM. Nikwambie kitu ndugu, serikali ina mkono mrefu sana, masikio yasizidi kichwa.
4. mwisho kabisa kuna vita ya dhidi ya TMT na kundi lingine ambalo nao wanatoa mentorship, hapa lazima upigwe mawe sana, boresha huduma yako kwa kiwango kikubwa, hakika utakua balozi mzuri sana, ili uendelee kulinda brand yako hapa jf na kampuni yako TMT ni bora ukaja wazi kujibu hizi shutuma khs broker, kauli chafu, FNB (naskia kuna mikoa hawakwenda na mliwaahidi), pia kuna timu yako inayokutetea humu aidha kwa maslahi, nikushauri tu aina ya timu ulioichagua inadidimiza brand yako... kuna kadada kanaitwa jeskitilla kanaongea kauli chafu sana, hata sehemu ya kujibu hoja yeye ni tusi, watu wa aina hii wanakuharibia.
mwisho nikutakie kazi njema, binafsi sijaanza kushiriki, kwa sasa nasoma kwanza vitabu, nikimaliza nitafanya mentorship baada ya hapo nifungue demo nipate uzoefu kwanza ndio nianze kutrade real.....