Ontario kamalizwa kishamba mno!

Ontario kamalizwa kishamba mno!

Mimi sina affiliation yoyote na TMT hawanijui siwajui hata kidogo huyu ontario na wenzie nimeishia kuwaona hapa tu.... wengi wao walikua wananianza kuni attack na me bila hiyana lazma nirudishe mashambulizi hua naamini katika falsafa ya “Dont negotiate with Terrorist” na wengi wao wananichukulia Poa kuna jukwaa letu fulani la siri humu hua tunakutana huko hasira zao wanahamishia hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hao TMT watakua wamewaskia nilikua naitetea forex kua sio Scam na ipo dunia nzima hata Trump ni anafanya Forex kama hujui.pia nadhani TMT haikuwaikulazimisha mtu kusoma kwao masuala ya forex maana Online unaweza kusoma na ukaishi.Kama ingekua big deal kiasi hicho kwa ela ambazo anazo ontario angetia billboards nchi nzima kuitangaza au kutangaza kwenye TV watu wakasome pale ila sababu ni Forex hailazishwi uisome TMT.
Shithole
 
Ontario kosa alilofanya ni kutumia lugha nzuri kuaminisha watu watauvuna utajiri kirahisi huko kwenye forex..

Angewaambia tu Forex ni kamari, hata usome vitabu elfu ila fact ni kuwa Forex ni kamari..

Watz bado sana wamesoma darasani ila hawakuelimika na walivotoka darasan hasa vyuoni wazazi wao waliwaaminisha kua ukitoka chuo wewe utakua na maisha mazuri mwisho wa siku wanakutana na uhalisia hali mbaya ndio kuja kwenye forex walijua kuna urahisi kutimiza zile ndoto zao huku kwenye forex wanaopiga kelele ukiwauliza kusoma vile vitabu vya forex wamesoma..????? Halafu hawana hata muda mrefu kwenye forex kelele milion
 
Waliaminishwa kwamba huko kuna pesa za bure, tukaweka tahadhari ila tukaishiwa kutukanwa na kuonekana tuna wivu. Ndio maana unaona waliopoteza pesa zao wanamuita tapeli, tapeli ni mtu anayejipatia fedha kwa njia za udanganyifu..

Yeye anadai aliambiwa asome vitabu kwa miezi mitano sijui, lakini yeye anatoa darasa la siku tano..

Inaonekana yeye anakula dili na broker kuwaibia wateja, hiyo ni shida nyingine..
 
Kwa taarifa yako Broker wewe upige ela upate loss ela yake iko pale pale na hiki wengi hamjui hawezi kula deal na broker hata siku 1. Ndugu yangu broker anapata ela yake pale tu umefungua positions za kutrade [emoji3][emoji3] ontario yeye anapata pesa kwa kuwafundisha pale TU.pole sana natamani ungekuja Dakar uone East Africa mlivolala akili kichwani.PIA ONTARIO HAKUMSHIKIA MTU PANGA AENDE AKASOME PALE MTAONGEA SANA SANA ILA FOREX IS NOT FOR EVERYONE.hata ukilima inaweza mvua isinyeshe na ukala hasara lakin hakuna ataekusumbua
 
Kwa kweli kwa upande Wa Broker heshima ya Ontario imekwisha, Kwa upande Wa Fnb sina hakika
 
Back
Top Bottom