Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,960
Mkuu twende taratibu..
Kwanza sijawahi kujihusisha na chochote na huyo Ontario.. Hayo malalamiko wanapost wanafunzi wake ambao pia walishawahi kunitukana kama wewe hapo unavyofanya hapa..
Pili, Forex business hajaileta wala sijaijua kwa huyo dogo.. Tulishakuwa tunaijadili humu na akina Mentor, Bavaria na wengine hata kabla ya huyo dogo hajaijua forex yenyewe..
Tatu, umesema Ontario hapati chochote kwa huyo broker, kwanini analazimisha atumike huyo pekee?
Uzuri umekuja pale pale mara ujajua kabla yake mara mentor Bavaria yan ulikua unafanya mentor kwa bavaria jus mentor tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa ontario kawashika mahala conflict of interest pole sana lakini.na kama unatumi broker mwingine yeye ontario atajuaje sabab unatrade kwa sim au laptop yako nyumbani na hao wanaotumia broker wwngine vip wao kila siku wanavuna mapesa .??? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]