Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Umeshanipa hamu kwa maneno yko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshanipa hamu kwa maneno yko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji86]
Una hamu na ban???Umeshanipa hamu kwa maneno yko
Forex ni kamari, end of story..
Waambieni wateja wenu hivyo, Forex haina cha kujifanya tunasoma vitabu.. Ni kamari
Una hamu na ban???
ShitholeMimi sina affiliation yoyote na TMT hawanijui siwajui hata kidogo huyu ontario na wenzie nimeishia kuwaona hapa tu.... wengi wao walikua wananianza kuni attack na me bila hiyana lazma nirudishe mashambulizi hua naamini katika falsafa ya “Dont negotiate with Terrorist” na wengi wao wananichukulia Poa kuna jukwaa letu fulani la siri humu hua tunakutana huko hasira zao wanahamishia hapa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hao TMT watakua wamewaskia nilikua naitetea forex kua sio Scam na ipo dunia nzima hata Trump ni anafanya Forex kama hujui.pia nadhani TMT haikuwaikulazimisha mtu kusoma kwao masuala ya forex maana Online unaweza kusoma na ukaishi.Kama ingekua big deal kiasi hicho kwa ela ambazo anazo ontario angetia billboards nchi nzima kuitangaza au kutangaza kwenye TV watu wakasome pale ila sababu ni Forex hailazishwi uisome TMT.
Hata wewe kuolewa ni kamariHata kugombea ubunge ni Kamari
Inategemea na chama.. vingine vinaiba kura, uhakika wa ushindi unakuwa mkubwa..Hata kugombea ubunge ni Kamari
Ontario kosa alilofanya ni kutumia lugha nzuri kuaminisha watu watauvuna utajiri kirahisi huko kwenye forex..
Angewaambia tu Forex ni kamari, hata usome vitabu elfu ila fact ni kuwa Forex ni kamari..
Hata wewe kuolewa ni kamari
Inategemea na chama.. vingine vinaiba kura, uhakika wa ushindi unakuwa mkubwa..
My ass nani aoe kinyago kama wewe?Iwe mara 2.
Wasio na vibamia na wenye ku focus kutafuta pesa sio walioletwa mjini kwa mgongo wa shemeji.My ass nani aoe kinyago kama wewe?
Katika wanawake ma popoma na wewe hukosiWasio na vibamia na wenye ku focus kutafuta pesa sio walioletwa mjini kwa mgongo wa shemeji.
Teh teh teh ingekuwa rahisi banks zisingefirisika mpaka kufungwa..Hata forex kuna mahala unacheat ili uweze kuiba hela we call it Tricks.
Teh teh teh ingekuwa rahisi banks zisingefirisika mpaka kufungwa..
Katika wanawake ma popoma na wewe hukosi
Waliaminishwa kwamba huko kuna pesa za bure, tukaweka tahadhari ila tukaishiwa kutukanwa na kuonekana tuna wivu. Ndio maana unaona waliopoteza pesa zao wanamuita tapeli, tapeli ni mtu anayejipatia fedha kwa njia za udanganyifu..Watz bado sana wamesoma darasani ila hawakuelimika na walivotoka darasan hasa vyuoni wazazi wao waliwaaminisha kua ukitoka chuo wewe utakua na maisha mazuri mwisho wa siku wanakutana na uhalisia hali mbaya ndio kuja kwenye forex walijua kuna urahisi kutimiza zile ndoto zao huku kwenye forex wanaopiga kelele ukiwauliza kusoma vile vitabu vya forex wamesoma..????? Halafu hawana hata muda mrefu kwenye forex kelele milion
Siamini kama Barclays SA wangeshindwa kutumia forex kujitajirisha..Sawa hata darasani ndio maana kuna wa 1 na wa mwisho
Waliaminishwa kwamba huko kuna pesa za bure, tukaweka tahadhari ila tukaishiwa kutukanwa na kuonekana tuna wivu. Ndio maana unaona waliopoteza pesa zao wanamuita tapeli, tapeli ni mtu anayejipatia fedha kwa njia za udanganyifu..
Yeye anadai aliambiwa asome vitabu kwa miezi mitano sijui, lakini yeye anatoa darasa la siku tano..
Inaonekana yeye anakula dili na broker kuwaibia wateja, hiyo ni shida nyingine..