Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,097
HahaaahaaaaNyie hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaahaaaaNyie hapo
Yako imebakia ya kujiuzaAkili yako imebaki kuvukia zebra barabarani
We mjusi kafiri "Gasho" unataka kuonana na mwanaume mwenzio ili iweje, Nenda Mombasaweka namba hata ya bajaj kama unamiliki.. tuitrace tra.. kama unajiamini njoo tuonane
Ukipata hela unitafute basiNaww kumbe ni mtu wa forex...juzi nmesoma sn jana nmefungua demo a/c nione kama kweli hela ipo
Njoo uchukueUkipata hela unitafute basi
NakujaNjoo uchukue
Nakuja
Haaa haaa...naona ushatia timuNikitaka kucheka nakuja kwenye hizi nyuzi zinazohusu frx ahahah
Mkuu hizo hela usizipoteze bure mkopeshe mdogo wetu Te Lavista atakurudishia ktk huu Uzi kakureply anaomba ajira usidhani anakukujeli ni siriaz na aliwahi kufungua Uzi anaomba msaada wa ajira au mkopo wa laki 3 ambao ataurudisha msaidieweka picha zangu za huko makere.. nikupe laki 5 ya jasho.. uache tegemea hela za bure kama shoga...
Mkuu hizo hela usizipoteze bure mkopeshe mdogo wetu Te Lavista atakurudishia ktk huu Uzi kakureply anaomba ajira usidhani anakukujeli ni siriaz na aliwahi kufungua Uzi anaomba msaada wa ajira au mkopo wa laki 3 ambao ataurudisha msaidie
Hahaha,naona umemkalia koon,hawes pumua,hahaha saf sana,aje tuone nin anamilik,hahahah,sio maneno manenoha ha ha ha... wewe bwege kweli unahisi sina degree? na kama nikiwa nayo nikufanyeje.. unaweza kuta unajisifia degree kumbe ya vyuo vya kata.. haya sasa degree ninayo tena ya chuo mnachokiita bora hapa Tanzania sema lingine.. na kuonesha nimeelimika nimejiajiri biashara 5 tofauti.. na ajira nilizowai kuzifanya ni sehemu ambazo ni ndoto kwa graduates wengi hata kujitolea tu... kama unajiamini upo vizuri tuonane na mashahidi member humu tuone nani amefanikiwa...
degree ni makaratasi tu sio ya kumtisha mtu... mimi hata siiongeleagi sababu sio ishu zama hizi... naongeleaga biashara zangu nilizoanzisha mwenyewe
mbona unakwepa tuonane tujue nani mkali wa kusaka mali
Naona unamkwepa sana bwana freshman,...jamaa anachota weken mambo hadharan,mbona hutak mjombakaka kwa taarifa yako familia yetu wote WASOMI HAKUNA MASKINI HATA MMOJA, tupo wa watoto tatu TU, na wa mwisho yupo chuo mwaka wa 1, jipange tena
Hahaha,nmekuvulia kofia mjomba,jamaa hatak anakuogopaacha bla bla tuonane na mashahidi wawepo.. kama upo tayari tuanzishe uzi wa kualika mashahidi... mimi najitolea mafuta na gari la mizunguko yote... tunaoneshana maisha tunayohishi.. mnakuja kwangu.. tunaenda kwako, kisha tunaanza asset tunazomiliki na documents zake.. tutajua nani mkweli..
kama kweli unapataga laki mbili kwa siku forex mbona unakuwa muoga.. au huna unachomiliki?
Aha aaaaa,umemuogopa,kumbe we mwongo aseeNishakujua ulivyo, sifa tuuuuu, mkuu NAFANYA FOREX na SIACHI FFOREX