Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
What I discovered is, inahitaji flexibility, focus, patience, skills and a lot of research ili uwe trader wa forex. Sasa watu wengi hivi vitu hawana, ndio maana tunasema forex is not just for everybody. We kama huwezi waache wenzio wapige hela. Kuanza kuhate hustle za watu simply because your mind couldn’t comprehend what they’re doing si sawa. Kukaa kimya ni busara kuliko kuropoka kitu ambacho hukifahamu kwa undani.
 
weka picha zangu za huko makere.. nikupe laki 5 ya jasho.. uache tegemea hela za bure kama shoga...
Mkuu hizo hela usizipoteze bure mkopeshe mdogo wetu Te Lavista atakurudishia ktk huu Uzi kakureply anaomba ajira usidhani anakukujeli ni siriaz na aliwahi kufungua Uzi anaomba msaada wa ajira au mkopo wa laki 3 ambao ataurudisha msaidie
 
Ahsante sana mkuu Mungu akubariki.

Ahsante.
Mkuu hizo hela usizipoteze bure mkopeshe mdogo wetu Te Lavista atakurudishia ktk huu Uzi kakureply anaomba ajira usidhani anakukujeli ni siriaz na aliwahi kufungua Uzi anaomba msaada wa ajira au mkopo wa laki 3 ambao ataurudisha msaidie
 
Hahaha,naona umemkalia koon,hawes pumua,hahaha saf sana,aje tuone nin anamilik,hahahah,sio maneno maneno
 
kaka kwa taarifa yako familia yetu wote WASOMI HAKUNA MASKINI HATA MMOJA, tupo wa watoto tatu TU, na wa mwisho yupo chuo mwaka wa 1, jipange tena
Naona unamkwepa sana bwana freshman,...jamaa anachota weken mambo hadharan,mbona hutak mjomba
 
Hahaha,nmekuvulia kofia mjomba,jamaa hatak anakuogopa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…