Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Fungu la kukosa...Hongera,siku atakayo tamburishwa kwa wachezaji wenzie wa Singida atapewa shkamoo mpaka atajuta.
Shkamoo blaza,wengine shkamoo Anko,wengine babu shkamoo.
Bado sako, banda na chama. Nashauri simba iwapeleke kwa mkopo au wawauzie moja kwa moja trans camp au Ruvu shooting au kitayosce ...kwa kuwa hawana faida yoyote kwa simbaBeki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate.
Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi huku akiwa na jezi rasmi za timu hiyo.
Haijajulikana ni kandarasi ya muda gani. Pia, haijaelezwa bayana kama ameenda kiujumla ama kwa mkopo.
Onyango sasa kuungana na mchezaji mwenzie Pascal Wawa, waliotengeneza ukuta imara sana walipokuwa Simba SC..View attachment 2681236
Hongera,siku atakayo tamburishwa kwa wachezaji wenzie wa Singida atapewa shkamoo mpaka atajuta.
Shkamoo blaza,wengine shkamoo Anko,wengine babu shkamoo.
Tulibeba mara 4Kwa hali hii simba wasahau tena ubingwa msimu huu. Maana watatumia muda mwingi kukijenga upya kikosi chao. Msimu ujao, kama kawaida. Wanakibomoa tena.