Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate.
Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi huku akiwa na jezi rasmi za timu hiyo.
Haijajulikana ni kandarasi ya muda gani. Pia, haijaelezwa bayana kama ameenda kiujumla ama kwa mkopo.
Onyango sasa kuungana na mchezaji mwenzie Pascal Wawa, waliotengeneza ukuta imara sana walipokuwa Simba SC.