Onyango aikacha Simba. Akimbilia Singida

Nashangaa hadi Yanga wanasema Simba wamefanya makosa kumuacha Onyango. Ndiyo maana nasemaga wanasimba tuwe makini na hizi kelele za mitandaoni kuhusu wachezaji, wengine hawa ni mamluki tu wanataka kuichanganya timu. Juzi nilihoji ubaya wa Outtara hakuna aliyenipa jibu la kueleweka.
 
Huyu naona wamegoma kumtengenezea bango la thank you.Naona walikuwa wanamtaka ila kawachomolea.
 
kwaio haier kaidhamini yanga na tawi lake?
pongezi kwa madelu[emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…