SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nashangaa hadi Yanga wanasema Simba wamefanya makosa kumuacha Onyango. Ndiyo maana nasemaga wanasimba tuwe makini na hizi kelele za mitandaoni kuhusu wachezaji, wengine hawa ni mamluki tu wanataka kuichanganya timu. Juzi nilihoji ubaya wa Outtara hakuna aliyenipa jibu la kueleweka.