Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza.
Onyango amekuwa na wakati mgumu wa kupata nafasi toka awasili Kocha Zoran Maki.
Oyango analazimisha kuondoka Simba baada ya kuona kuna ugumu wa kupata namba mbele ya Mohammed Outtara ambaye ni chaguo la Kocha.
Zipo taarifa, Onyango anataka kuondoka baada ya Singida Big Stars kumuwekea ofa nono na Mkenya huyo anaona bora aondoke maana Simba hakieleweki kwake.
NB: onyango baada ya kusikia kisinda karudi mwamba hataki tabu kabisa..