Onyango aomba kuvunja mkataba, andika barua TFF..

Onyango aomba kuvunja mkataba, andika barua TFF..

Dirisha limefungwa tayari atakwenda wapi?
 
Dingi asepe tu kwani hata yeye alivyopata namba kuna mtu alisugua bench. Naona hela ya tozo inamtoa udenda
 
Aondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla

Hivi bongo hakuna dirisha la usajili wa free agents?

Maana kama akivunja mkataba, atakuwa free agent
 
Hilo liko wazi beki kama onyango sio wa kukaa benchi kabisa mpaka kufikia kuomba kuvunja mkataba
Lakini waliocheza mechi mbili hadi sasa hawajaruhusu goli hata moja NBC PL. Inabidi kuwaheshimu pia
 
wewe nyumbu anaevunja mkataba ndie anaelipwa [emoji205][emoji205][emoji205]
Wewe kweli ni shahidi wa mambumbumbu na makolo waliopo uko kwenye timu yenu

Onyango anadai makubaliano yaliyo ndani ya mkataba kama pesa n.k havijatimizwa
 
Safi naona uzi umerekebishwa sasa umeandikwa kiushabiki wenye akili. JF imeondoa mpk comments zangu zenye neno ma****** aiseee safi sana.
 
Back
Top Bottom