Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kufanya hivyo na wakati hata Msemaji wa timu Ahmed Ally alikiri kwenye vyombo vya habari! Na alisema CEO wa timu ndiye mwenye mamlaka ya kutolea ufafanuzi!!Kuna habari ukizisoma mpaka inabidi ucheke. mchezaji professional kama onyango hawezi fanya ujinga kama huo.