Onyango kagomea safari ya Sudan akidai kutoridhishwa kupigea banch

Onyango aache kususa susa ataharibu future yake ya soka kwanza bado mdogo sana kiumri[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji28]
 
Kuna habari ukizisoma mpaka inabidi ucheke. mchezaji professional kama onyango hawezi fanya ujinga kama huo.
Hawezi kufanya hivyo na wakati hata Msemaji wa timu Ahmed Ally alikiri kwenye vyombo vya habari! Na alisema CEO wa timu ndiye mwenye mamlaka ya kutolea ufafanuzi!!
 
Huyu aende timu ya ma-father ya Singida Big Stars, kule hawajali umri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…