BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Icho ulichokisema apo nilitakiwa nikiseme mimi kwako ila kwa kua ur blind,... Its too bad you said it,Tatizo baadhi ya wabongo kama nyinyi hampendi watu kutoa mawazo na mitazamo yao. Tukiwaambia ukweli mnatutukana, kutuzushia uwongo au kututishia amani!
Eti wivu wa kike! Nikuone wivu au chuki nakujua wewe? Ndiyo maana wengi mmeharibikiwa sababu ya uwezo mdogo wa kufikiri.
Ungeelewa japo kirefu cha forex ndo ungejua unabisha nini.Benki inafanya biashara ya kuuza na kununua foreign currency, lakini si kwa kufanana na forex trading. Mpumbavu utakuwa wewe maana uelewi hilo!!
Maneno niliyo andika ulitaka kuyasema!? Dah! Wewe mbona unajichanganya? Utaiweza kweli forex trading kama akili yenyewe yakutegemea mpaka wengine waku prompt to wake up! Lala salama!Icho ulichokisema apo nilitakiwa nikiseme mimi kwako ila kwa kua ur blind,... Its too bad you said it,
Wewe binafsi umejipiga kipato kiasi gani? Au unawaongelea wenzangu, wengine na mabroker!!Ungeelewa japo kirefu cha forex ndo ungejua unabisha nini.
Ila sikushangai maana huo ndo mwisho wako wa kufikiri.
Unadhani biashara ni ile ya kushika makaratasi mkononi.
Endelea na mawazo yako finyu wakati wenzako wanaendelea kujipigia vipato vya ziada
Acha usnitch dogo kweny biashara za watuManeno niliyo andika ulitaka kuyasema!? Dah! Wewe mbona unajichanganya? Utaiweza kweli forex trading kama akili yenyewe yakutegemea mpaka wengine waku prompt to wake up! Lala salama!
U are right too bad i said it before you. Next time, stay awake!
Kwa mtaji wa dollar 100$ sikosi 6$ kwa sikuWewe binafsi umejipiga kipato kiasi gani? Au unawaongelea wenzangu, wengine na mabroker!!
Mkuu uwe unaangalia kwenye dictionary kuhakikisha neno linatumika vipi!Acha usnitch dogo kweny biashara za watu
Hivi una kielewa ulicho kiandika Apa[\b]Benki inafanya biashara ya kuuza na kununua foreign currency, lakini si kwa kufanana na forex trading. Mpumbavu utakuwa wewe maana uelewi hilo!!
Mama kule juu nimeuliza swali hujanijibu,Yametimia