Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
wewe ukipata utanipa mkuu inatosha
Umenihuzunisha sana mkuu wangu!!mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa
nachukua oda za mbege bado .
Kwani ontario ni broker??mfano wewe ukianza kutrade ontario atafaidika na nini??Ila buana
65,000 sh x 300 members = sh 19,500,000 dah kijana ontario amewajulia sana hawa watanzania
ONTARIO atakuwa kakusonya mbaya!mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa
nachukua oda za mbege bado .
bora niuze papuchi
wewe unajua kutrade?Bro, kwanini unaandika mambo usiyofahamu?
Kwanini unaendeshwa na uwoga?
Au unaona wivu jamaa kutusua mil 19?
Forex is real
ndioUnajua maana ya broker
anza kutrade uone atakavofaidika unadhani yeye ni mjinga sio?Kwani ontario ni broker??mfano wewe ukianza kutrade ontario atafaidika na nini??
hakuna maisha rahisi kijana fanya kazi bora ununue hisa zako physical pale tbl ukeshe pale stock market uuze na kununua kila siku.haya mambo ya online money ni scam tupu. bora ucheze biko
endelea kumuamini huyo mfadhili wenuUmenihuzunisha sana mkuu wangu!!
Unaelewa maana ya forex broker?? Unajua kufungua kampuni ya forex broker unahitaji dola million ngapi?? Unajua bajeti ya kufungua tu inakaribia bajeti ya wizara moja hapa Tz??
Sasa ontario toka lini kawa broker?? Kama hujui bora uulize mkuu wangu sio unalalamika na kuandika upuuzi tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
endeleaMbona watu wanapoteza hela kila siku kwenye biashara hujawambia waache hizo biashara? Yo momy fackz
Sent using Jamii Forums mobile app
unanionaje?Muuza mbege unazijua hadi regulatory bodies na umuhimu wake?
Kweli Tanzania tumepiga hatua sana ila tunajidharau
karibu sana.bora mimi nauza mbege kuliko nyie mnaotaka kutapeliwa .Mama muuza mbege, heshima kwako!
Mie ombi langu ni moja tu kwako... naomba ajira hapo kilabuni kwako, hata kazi ya kukusafishia viti ni poa tu. Nakupigia kazi huku unanifundisha forex, at the same time tuna-take care walevi wetu. Nahitaji Tsh laki 3 za mtaji.
Nawasilisha. 🙂🙂
-Kaveli-
Mama Muuza, ongeza nusu...mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa
nachukua oda za mbege bado .
U don't make a sense kabisa,kwanza nimekuwa introduce kwenye this busness kabla sijaona uzi wa ontario,kifupi huyu ontario anamoyo mzuri sana,jaribu kutafuta watu waliofanikiwa kwenye this busness,asubuhi ukiweza weka logic yako on how ontario atafaidika mtu akianza kutrade...fanya research kabla ya kuongeaanza kutrade uone atakavofaidika unadhani yeye ni mjinga sio?