Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .
Umenihuzunisha sana mkuu wangu!!

Unaelewa maana ya forex broker?? Unajua kufungua kampuni ya forex broker unahitaji dola million ngapi?? Unajua bajeti ya kufungua tu inakaribia bajeti ya wizara moja hapa Tz??

Sasa ontario toka lini kawa broker?? Kama hujui bora uulize mkuu wangu sio unalalamika na kuandika upuuzi tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONTARIO atakuwa kakusonya mbaya!
 
Bro, kwanini unaandika mambo usiyofahamu?

Kwanini unaendeshwa na uwoga?

Au unaona wivu jamaa kutusua mil 19?

Forex is real
 
Umenihuzunisha sana mkuu wangu!!

Unaelewa maana ya forex broker?? Unajua kufungua kampuni ya forex broker unahitaji dola million ngapi?? Unajua bajeti ya kufungua tu inakaribia bajeti ya wizara moja hapa Tz??

Sasa ontario toka lini kawa broker?? Kama hujui bora uulize mkuu wangu sio unalalamika na kuandika upuuzi tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kumuamini huyo mfadhili wenu
 
Mama muuza mbege, heshima kwako!

Mie ombi langu ni moja tu kwako... naomba ajira hapo kilabuni kwako, hata kazi ya kukusafishia viti ni poa tu. Nakupigia kazi huku unanifundisha forex, at the same time tuna-take care walevi wetu. Nahitaji Tsh laki 3 za mtaji.

Nawasilisha. 🙂🙂

-Kaveli-
karibu sana.bora mimi nauza mbege kuliko nyie mnaotaka kutapeliwa .
 
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .
Mama Muuza, ongeza nusu...
Mleta mada yule, anaitwa ONTARIO kuweka kumbukumbu sawa. Enhe, mwaga udambwi.
 
anza kutrade uone atakavofaidika unadhani yeye ni mjinga sio?
U don't make a sense kabisa,kwanza nimekuwa introduce kwenye this busness kabla sijaona uzi wa ontario,kifupi huyu ontario anamoyo mzuri sana,jaribu kutafuta watu waliofanikiwa kwenye this busness,asubuhi ukiweza weka logic yako on how ontario atafaidika mtu akianza kutrade...fanya research kabla ya kuongea
 
Back
Top Bottom