Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

kwanini wewe siku zote ulizokuwa unapiga huko hela hujawaintroduce hata ndugu zako?
 
wabongo tuna roho za kwanini, yani ontario kaleta fursa ya maana tu lakini watu wapo negative kinoma... tuache mihemuko na kukurupuka
 
karibu sana.bora mimi nauza mbege kuliko nyie mnaotaka kutapeliwa .


Mie na mambo ya forex wapi na wapi mama muuza. Bado sina hata bank account ya ku-link hizo online betting trades.
Mie nasaka laki tatu tu nizame pori nikapige bizna za dengu, mbaazi, ama korosho.

Nakuja mama muuza. Ubarikiwe sana mama mjasiriamali. πŸ™‚πŸ™‚


-Kaveli-
 
maisha ni kupambana kijana wangu ,acha wanitukane hapa ila ipo siku.
 
wabongo tuna roho za kwanini, yani ontario kaleta fursa ya maana tu lakini watu wapo negative kinoma... tuache mihemuko na kukurupuka
ni fursa ila sio kwako.kuwa makini acha kukurupuka
 
hela ingekuwa inapatikana kirahisi hivo wachina wangekuwa kariakoo wakiuza yeboyebo?


Umenichekesha sana mama . lol πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚

-Kaveli-
 
Mkuu hv zile bamia zako ulishavuna? Vp mtoko ulikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada umetumwa sio bure. .
Sawa tunaenda kupigwa kwa hiyo wewe inakuuma nini eti au unataka wote tuwe kama wewe wauza mbege. .?
tuondolee balaa lako hapoo .Mbona siku zote haukuleta huu uzi ujee kuuleta leo. .?
Wacha roho mbaya

Nokia ya Torch
 
Haha, poor risk management+anxiety= loss

Sent using North Korean Hydrogen Bomb
 
Atakayebisha atutajie regulatory body inayodeal na forex trade nchini Tanzania.Baada ya hapo kwa pamoja tumbishie mama muuza mbege.
Sent using Jamii Forums mobile app

Msiwe wajinga jamani Fx trading ni Global market sio lazima Tz idhibiti sok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…