Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

U don't make a sense kabisa,kwanza nimekuwa introduce kwenye this busness kabla sijaona uzi wa ontario,kifupi huyu ontario anamoyo mzuri sana,jaribu kutafuta watu waliofanikiwa kwenye this busness,asubuhi ukiweza weka logic yako on how ontario atafaidika mtu akianza kutrade...fanya research kabla ya kuongea
kwanini wewe siku zote ulizokuwa unapiga huko hela hujawaintroduce hata ndugu zako?
 
wabongo tuna roho za kwanini, yani ontario kaleta fursa ya maana tu lakini watu wapo negative kinoma... tuache mihemuko na kukurupuka
 
karibu sana.bora mimi nauza mbege kuliko nyie mnaotaka kutapeliwa .

Mie na mambo ya forex wapi na wapi mama muuza. Bado sina hata bank account ya ku-link hizo online betting trades.
Mie nasaka laki tatu tu nizame pori nikapige bizna za dengu, mbaazi, ama korosho.

Nakuja mama muuza. Ubarikiwe sana mama mjasiriamali. 🙂🙂

-Kaveli-
 
maisha ni kupambana kijana wangu ,acha wanitukane hapa ila ipo siku.
 
Mie na mambo ya forex wapi na wapi mama muuza. Bado sina hata bank account ya ku-link hizo online betting trades.
Mie nasaka laki tatu tu nizame pori nikapige bizna za dengu, mbaazi, ama korosho.

Nakuja mama muuza. Ubarikiwe sana mama mjasiriamali. 🙂🙂

-Kaveli-
Mkuu hv zile bamia zako ulishavuna? Vp mtoko ulikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe dada umetumwa sio bure. .
Sawa tunaenda kupigwa kwa hiyo wewe inakuuma nini eti au unataka wote tuwe kama wewe wauza mbege. .?
tuondolee balaa lako hapoo .Mbona siku zote haukuleta huu uzi ujee kuuleta leo. .?
Wacha roho mbaya

Nokia ya Torch
 
Haha, poor risk management+anxiety= loss

Sent using North Korean Hydrogen Bomb
 
e0b373cd822630f2845e9cbfcee513e3.jpg

Oyoooo [HASHTAG]#Forex[/HASHTAG]
 
Atakayebisha atutajie regulatory body inayodeal na forex trade nchini Tanzania.Baada ya hapo kwa pamoja tumbishie mama muuza mbege.
Sent using Jamii Forums mobile app

mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .
Msiwe wajinga jamani Fx trading ni Global market sio lazima Tz idhibiti sok
 
Back
Top Bottom