Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Tuko pamoja hata usiwaze siku zote action speaks louder than word.

Tunaoelewa tumeelewa
 
Tanzania unaregulate nn? Kuna broker hapa? Tanzania hakuna hata broker 1......

Sukari Yenu
 
Sio hiyo pekee huyu jamaa post zake huwa ni za kuwavutia sana watu anajua kucheza na akili za watu humu na anakuambia amefanikiwa but hataji kampuni yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu mambo ya utapeli mimi sijui. Ila kuhusu jamaa kufanikiwa ni kweli. Kampuni yake inaitwa Jefren Agrifriend Solutions Limited, Kama wewe ni msomaji mfukunyuki ni rahisi tu kujua. Jamaa inshort kapiga hatua.
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.

Mkuu ONTARIO pole sana na nguvu kubwa ya chuki inayopambana kuona inakwamisha kama si kutokomeza kabisa juhudi zako katika kusaidia Watanzania wenzako kujikwamua kiuchumi lakini binafsi nina machache ya kusema kwamba Usikate tamaa Boss katu katu maana hawa wanaokupiga vita leo watatamani wangepata japo wasaa wakuzungumza na wewe hapo kesho so please just be Humble my dear brother and stick to your plans. Pia asante kwa kutufikisha mpaka hapa tulipo na nina imani tutafika mbali zaidi pamoja maana changamoto ni sehemu katika maisha

 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
sitakaa nikudharau hata siku moja kwenye maisha yangu umenionesha jinsi dunia inavyoliwa na wachache wenye maarifa na wanaojua kutumia bongo zao vizur mimi now naishi kwa pesa ya forex japo bado sijafika kuwa na mamilion ila siku c nyingi nitafika huko.... Mungu akupe maisha marefu ndugu yetu wewe umetuokoa na utatuokoa vijana wengi kwenye hii nchii..msimdharau huyu kijana kabisa kama hajakukomboa wewe basi atamkomboa ndugu yako
 

We mleta MADA hii ni mmoja wa watu wasiosoma, wajinga kabisa.
Hata ku google tu from trusted sources kama wikipedia huwezi????
Ungekua mfatiliaji wa mambo usingeandika hiki. Shame on you. Kaa na ujinga wako, shwain
 
WAKUU HUU NI UTAPELI, JAMAA ANAFICHA KUANZIA SURA HADI JINA LA KAMPUNI.

SASA KAMA KUNA HUYU kinga666 ANASEMA NI KAMPUNI YA KILIMO SASA KILIMO NA FOREX WAPI NA WAPI?

YEYE ATAKUSANYA HZO 65 ZENU ATAENDA KUTUMBUKIZA KWENYE MIRADI YAKE HALISI HALAFU NYIE MTAACHWA NA KAMARI ZA FOREX NA KILIO KIKUU

MTAKUJA KUSHUHUDIA HILI

HUYU ONTARIO HAJAWAH KUFANYA HYO FOREX YEYE ANADEAL NA KILIMO
 
Najaribu kuwaza hivi anguko la jirani yako ndio lingekuwa unafuu wako kimaisha hali ingekuwa vipi?
 
Nadhani tuwape muda Mods watatoa maelezo.

Ushauri mwingine kwa ONTARIO tumia busara na jishushe kisha wacheki mods kujua kinaga ubaga, sidhani kama mods wanafanya kitu pasipokuwa na sababu, siamini kama mods wana chuki kama wengi wanavyoweza kudhani maana kama ingekuwa hivyo nyuzi za Ontario zisingedumu kwa muda wote huo zikiwa updated kila dakika
 
Time will talk!! JF wamefuta kwa sababu za kiofisi, mimi pia sizifahamh. Kama unahisi Ontario ni tapeli, basi nipe week 2 kuanzia Jumatatu ya kesho.
Week mbili za nn unataka upewe Mkuu?
 
Mkaruka HAKUNA ALIYESEMA JAMAA HAJAFANIKIWA.

ILA JAMAA HAJAFANIKIWA KUPITIA FOREX. ANADEAL NA MIRADI TOFAUTI KABISA.

SASA ALIYEKUAMBIA MTU ALIYEFANIKIWA HAWEZ KUTAPELI NANI?

NJIA ZA KUACUMULATE PESA ZIKO NYINGI MKUU.

HATA UJAMBAZI WATU WANAUTUMIA KUJIIMARISHA KWENYE MIRADI YAO (MONEY LAUNDERING)

Kwa hyo skatai jamaa kafanikiwa ila syo kwa forex


Fanyeni Investment ambazo ni za uhalisia, hii kamari anawaibia tu.
 
Wasomi wa nchi hii waoga sana.
 
Ngoja tusubiri merejesho wa watu waliotangulia. Watatuambia ni kipi walichofanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…