Nitumie fursa hii kuwapongeza JF kwa kuondoa nyuzi za biashara ya utapeli ya Forex iliyowekwa na bw
ONTARIO
Kiukweli mimi ni miongoni mwa watu niliostukia utapeli huu lakini nilishangaa baadhi ya watu kulaghaika na maneno matamu.
Weng waliokuwa wanachochea na kuaminisha watu kiukweli wapo nyuma ya utapeli.
Nawasihi vijana, tufanye kazi tuache shortcuts
Aidha, Jf syo uchochoro wa utapeli.
Forex ni kama kamari zingne tofauti yake ni kwamba, kamari nyingi Tanzania zimesajiliwa lakini hii haikusajiliwa.
Ebu jiulize, jamaa alisema watu 300 wa mwanzo wangepewa training ya bure lakini baadaye akasema mchangie 65,000
65,000*300=19,500,000
Mwshowe angesema yeye ni fighter kumbe kawatapeli wajinga wanaopenda shortcuts.
Nawashauri vijana wenzangu, kuweni makini na matapeli, fanyeni kazi.