Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Onyo: Forex trading haina mamlaka ya usimamizi

Unajua banki zinafanya forex trading?? Unajua forex inafundishwa mpaka vyuoni??

Kwa kifupi hujui unachoongea. Atleast unge google kuliko kuja kujidhalilisha hapa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
 
Nasikitika sana kuona comment kama hii inatolewa na mwanamke!!

Ndugu yangu Nyerere alisema tuna maadui watatu... Ujinga... Umasikini na maradhi. Nahisi wewe adui anayeitwa UJINGA ndiye anakupelekesha mpaka mda huu!

Umesema forex sio feki alafu muda huo huo unalalamika watu kupewa trainings! Huoni huo ni UJINGA?

unasema anahujumu uchumi lakini muda huo huo umesahau kwamba alisema hiyo 65000 ni Tax inclusive kwa lugha ingine kuna kodi inakatwa, je anakuaje muhujumu uchumi wakati analipa kodi??

Je nikisema wewe ndiye muhujumu uchumi maana unampiga vita mtu anayelipa kodi nitakua nimekosea??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hv zile bamia zako ulishavuna? Vp mtoko ulikuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu nililima nusu ekari. Mmea ulistawi vizuri, ila mvua zile za mwezi February/March ziliniacha na majanga coz nilikodi shamba liliopo karibu na mto... mto Mzinga. Daaah mto ulitema, almost two weeks mmea upo majini!

Kuna kakipande kama robo hivi upande wa juu wa shamba ndo niliambulia kiduchu sana. Kilimo kina changamoto lukuki Mkuu.

Isingekuwa hayo maafa ya mvua, natumai ningepata vijisenti.

So mambo hayakuwa poa kwa sababu hiyo.

-Kaveli-
 
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .[/QUOT
je,unapata faida kila siku kwenye mbege?........je hakuna risk yeyote kwenye biashara yako?
 
mama muuza mbege wakati nachukua oda zangu nimekutana na mada watu wanataka kutrade forex.niwaonye tu walevi wangu hiyo biashara haina regulatory body .hela ikiliwa ni imeliwa hutoweza kushtaki popote.ukitaka kujua jinsi ilivo feki fungua demo account hautokaa upoteze utakuwa unapata tu hata kama unakosea maksudi.lengo ni ili wakuvutie uweke mihela sasa hapo ndo utajua kama mbege ni zaidi ya henken.
bitcoin,forex trading ni kitu kimoja. broker wenu ambae ni mleta mada yulee atapata mihela huyo ngoja nihudumie wateja wengine naona wameingia kilabuni hapa

nachukua oda za mbege bado .

Wewe itakuwa umeonja mbege ya wateja zako.
 
je biashara yako ya mbege unapataga faida tuu?...haina risk yeyote?.....sisi ambao tupo kwenye forex trading kumbuka tunafanya biashara nyingine pia....principles are the same....
 
Hahahaha mama muuza baada ya kuuza ukaona apana ebu nionje ninacho kiuza mara gafla ukaanza kuongea madini daah naomba serikal liangalie swala hili la mbege lipewe kipaumbele kwa afya ya ubongo.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa mkuu mbege ni kinywaji cha huku kwetu na inaonekana mleta mada ni huku kwetu. Kwa kifupi ametuaibisha sana kwa mawazo ya kipuuzi kama haya!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Boss ujue nashangaa hii nguvu yote inatokea wapi ya watu kujifanya wanatahadharisha watu.

Yaani pesa ni yangu, nimeitafuta mwenyewe. Nimeamua kuitumia kinamna hii, yet wanatokeza watu wanajifanya wanajua sana namna ya kupanga namna ya kuitumia pesa yangu.

Wanaacha kuwaonya watu wanaocheza upatu, michezo kama ya D9 club, wale wanaotumia pesa zao kulewea bila ratiba, wale wanaohonga michepuko, wanakuja kuwapa ushauri nasaha wanaotaka kufanya investment.

Aisee, this is interesting.
 
nielewe sijasema forex trading ni feki.ila hii ya kuita watu wakatrade ni feki katika watu mia tatu hata kumi hawatafika watakaopata hela.acheni kudanganya watu .kwanza mnahujumu uchumi.watu mia tatu kila mtu akitoa m moja ni sh ngapi hyo ?
Ficha ujinga wako mkuu.
Financial institutions kibao kitambo sana walianza kupiga hela kupitia Fx trading na wakaendelea kufanya siri kubwa wateja wao wasijue mbinu ya mchezo.

Nilichogundua ni kwamba wengi wenu humu JF hamkuwa na uelewa juu ya Fx Trading kabla ONTARIO haja introduce hii makitu hapa jamvini ndiyo maana mnatokwa na povu kiboya boya.

Hivi unaelewa threshold deposit ya bank pale BOT kabla hajaruhusiwa kufanya biashara Bongo?
Na jiulize sasa Bank kama Standard Chartered Tanzania wana portfolio ya pesa kiasi gani kwenye mikato ya Fx? na ujinga zaidi wanatumia hiyo hiyo pesa yako unayo deposit kila uchao kupigia pesa mingi sana huko unakoona wewe ni risk kisa eti hakuna regulatory authority hapa Nchini.
 
Nataka nitapeli waTZ wengi mzee baba hadi wakome wenyewe. We usome mchezo tu hadi mwisho.

40e1483db156139d4b89be0b620990de.jpg

454412b95822cb1641ba1a59f3c1ec3b.jpg

a9370edea75edc95edf5fc65b8f1bfa1.jpg
Sikutegemea kama ungecomment kwenye uzi huu yanini unaumiza kichwa na watu ambao wapo gizani tulishasema awali kuwa watakuja kustuka kumekuchaa!
 
Forex and gambling ni mama mmoja baba tofauti

300*65,000/=19,500,0000

YANI MTU ANAWAFUNDISHA WATU KUCHEZA KAMARI HARAMU KWA MAMILIONI (BETTING NI KAMARI HALALI)

MODS: ZIKIJA NYUZI ZA WAPGWAJI WA FOREX FUTENI MANA KAMA ONYO WALISHAPEWA

CC. Ben T ONTARIO
 
Lazima tuwekane sawa katka hili
ila imani n ktu ambacho hatar sana yan watu wanajifanya hawaelew forex ndio mkomboz
Nasubir member kutoka jamii forum afungue kanisa kuna vichwa vingi sana umu yan havifikiliiii kabisaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kutukana watu wajinga kama huyu anayejiita muuza mbege ujinga hauna kabila ila huyu ni mjinga total anauliza njia wakati wa kwenda anauliza njia wakati wa wakurudi unaye muhurumia nani anayekuomba pesa kama pesa zetu kinakuuma nn muda unasema ujinga utakutoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom