Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kufikria HT ilivyokatwa ilikuwa inacheza vipi???chukua nyoka umbane kichwa jinsi kiwiliwili kinavyocheza huko nakule HT nizaidi ya hapo na kwa kasi kubwa na moto wa blue ikisambaa na chochote ndani ya mita kumi lazima kipate habari yake!!!!Hawa marehemu walidhani ni nyaya za simu au ndio tena ngumbalo imewaponza.
duuh, hao majeruhi wamelazwa wapi? wako muhimbili tukawajulie hali? kweli ile kazi ni balaa