KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Dec 14, 2010 Thread starter #21 LoyalTzCitizen said: Mshikaki swaaafiiii!Achtung! Click to expand... Ndafu!!
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Dec 14, 2010 Thread starter #22 MNDEE said: Hawa marehemu walidhani ni nyaya za simu au ndio tena ngumbalo imewaponza. Click to expand... Najaribu kufikria HT ilivyokatwa ilikuwa inacheza vipi???chukua nyoka umbane kichwa jinsi kiwiliwili kinavyocheza huko nakule HT nizaidi ya hapo na kwa kasi kubwa na moto wa blue ikisambaa na chochote ndani ya mita kumi lazima kipate habari yake!!!!
MNDEE said: Hawa marehemu walidhani ni nyaya za simu au ndio tena ngumbalo imewaponza. Click to expand... Najaribu kufikria HT ilivyokatwa ilikuwa inacheza vipi???chukua nyoka umbane kichwa jinsi kiwiliwili kinavyocheza huko nakule HT nizaidi ya hapo na kwa kasi kubwa na moto wa blue ikisambaa na chochote ndani ya mita kumi lazima kipate habari yake!!!!
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Dec 14, 2010 #23 Mtego wa Noti said: duuh, hao majeruhi wamelazwa wapi? wako muhimbili tukawajulie hali? kweli ile kazi ni balaa Click to expand... Wamelazwa Ahera
Mtego wa Noti said: duuh, hao majeruhi wamelazwa wapi? wako muhimbili tukawajulie hali? kweli ile kazi ni balaa Click to expand... Wamelazwa Ahera
Yegomasika JF-Expert Member Joined Mar 21, 2009 Posts 13,164 Reaction score 61,255 Dec 14, 2010 #24 Hivi hao jamaa wa ESCOM bado wana HT za Copper walizokuwa wanatumia ku-transmit DC current, basi naona hao Wazulu zitawamaliza hizo!.
Hivi hao jamaa wa ESCOM bado wana HT za Copper walizokuwa wanatumia ku-transmit DC current, basi naona hao Wazulu zitawamaliza hizo!.
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Dec 14, 2010 Thread starter #25 Yegomasika said: Hivi hao jamaa wa ESCOM bado wana HT za Copper walizokuwa wanatumia ku-transmit DC current, basi naona hao Wazulu zitawamaliza hizo!. Click to expand... Fiber unakuwa kipofu!
Yegomasika said: Hivi hao jamaa wa ESCOM bado wana HT za Copper walizokuwa wanatumia ku-transmit DC current, basi naona hao Wazulu zitawamaliza hizo!. Click to expand... Fiber unakuwa kipofu!