Ngosha anatafuta kiki[emoji3][emoji3]Afu we jamaa we una akili sana. Umejuaje? Hata Mimi nilikuwa nafikiria kama wewe. Akiona comments zinakuwa nyingi anajiona tayari yeye ni Superstar wa humu
Tutampima mkojo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kujua kiwango cha uelewa wako kwenye mitandao ya kijamii....Karibu unataka kujua nn
Wa kishua
Bangi alinifundsha demu wangu unataka umjuee
Wa kishua
Unao wangapiiUnaruhisiwa ila heshim madem wangu Sawa
Wa kishua
PoaQurie mambo unaonekana uko bomba
Wa kishua
Wakikua wataachaSi walikuintavyuu?? Ndo ujue tena watoto washahesabu umedinywa na aliyekuintavyuu...
Tena kazi haswaaa khaaaaaKweli mtoto mtoto tu hata unavyo-sound kweli umetoka kidato cha sita.
Mpaka mfungue vyuo kazi tunayo.
Acha shobo dogoKWANI MWAKA HUU VYUO VINAFUNGULIWA LINI? MAANA
Kuna domo zege zinazinga madem wa watu interview wapekeke kwa diva so apa
Huyu ni Muosha Sahani anwarusha roho tu apaa.Tatizo ni moja tu mydear..hawana adabu kwa dada zao.
Simu mpya tu ndo inaniletea zogo ungeipata hii fon mtu km we ungeringaHuo muandiko ambao hauna hata punctuation marks ndo wa kijana aliyemaliza form six?Una safari ndefu sana kijana Ocean road.Ndo maana Muosha Rungu anachukua mademu wako.
May be..ngoja niwaacheHuyu ni Muosha Sahani anwarusha roho tu apaa.
Simu mpya tu ndo inaniletea zogo ungeipata hii fon mtu km we ungeringa
Afu waulize Jose na God au rechael habar zangu Clas
Wa kishua