Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

Hawa f6 leavers wametembea na hii thread usiku kucha. Duu tutakoma safari hii
 
Huo muandiko ambao hauna hata punctuation marks ndo wa kijana aliyemaliza form six?Una safari ndefu sana kijana Ocean road.Ndo maana Muosha Rungu anachukua mademu wako.
 
Simu mpya tu ndo inaniletea zogo ungeipata hii fon mtu km we ungeringa
Afu waulize Jose na God au rechael habar zangu Clas

Wa kishua
 
Hahahahahahaha,aya mkuu nimekuelewa,Ntamuuliza Jose na God habari zako usijali.
 
Back
Top Bottom