Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

Wazee wa intavyuu wanifurahisha utasikia wanauliza et embu tuelezee we ni nani
Muulizwa anajibu:: me Niko simple mstaarabu sipendi ugomvi ha ha ha
Intavyuu za kiwaki sana
Wachane mwana hawa tungekuwa kitaa tungevalisha gauni
Maswali ya kizeeero had aibu
Na kitumbua hawapat kudadadek

Wa kishua
 
Nakukubali mzee Baba
Afu unaonekana bonge la msela

Wa kishua
Hapa ndonishazeeka babu yako...[emoji13] [emoji13]
Hata bibi yako skuizi ananilaumu kwamba nimeshuka kiwango toka mlango wa 5 hadi wa 3.....
Aibu yangu mie...[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
demi my lovely mbona siku hz watoto wanakutaja sana tatizo nn
Ndege atachagua atue kwenye mti gani
Watu hatufanani ndani nje ndani nje
Akili kichwani
Mafunzo nyumban
Usijaji kitabu km ujakisoma ndani
Pika na kupakua
Majungu weka mezani
Iam drunken in love
Utaniambia nyimbo gani
Redio Za mbao
Paparazzi dirishan
Habari jamani muna habar gani

Eeeeeeer Eeeeeeer

Umenipa mamawe
Chakunifanya nisisikie
Mambo yote yale ya nje
Na bado
Mara makikii masosho media
Na magazeti sitaki sikia
Kwako naketi wasinipangie
We ndo kipenda rohoo [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji442]
Cc
Demi
Maserati
Emmyta
Mahandw

Wa kishua
 
Back
Top Bottom