Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Uache kunichafua ndugu yangu. Sina jamaa yoyote hapa jf.
Wewe ni mwanangu kabisa, kwa uajuza huu siwezi kutoka na form six. Sibemendi nitakupwerepweta bureee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] Wewe ni shiddda
 
Dingi bado tupo makamuzi lakini due time ataelekezwa kibra..wamenifanyia fitna uzi [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Uwe unaenda mdogo mdogo,utakula ban!! Chagua maneno!!
Halafu mm sio dingi sijafikia huko!

DJ sepetu
 
Leo nawaonya nyie mazee mnaonyatia madem wa watu mnazuga na interview, kumbe ndo Gia ya kuwatongoza kwanza interview zenyewe hamjui mnauliza maswali ya kindezi tu yaan nye darasani ndo wale wanafunz tulikuwa tuwapiga konz na mnatuchekea interview Za kishamba waachen wtt wazur hawana time na nyie washamba kwanza msela unasaund km demu mimi nimepga vidato Sita na mwaka uu natimba chuo ila we sijui wa kujiita muosha sufiria na uyo boya konor anamsumbua demi achen ushamba
Mi ndo mzee Wa mavurugu waulize God na Jose ndo wananielewa nikishawaka mahasira ndo utaacha shobokea madem Za watu kuwafanyie interview wengine sio madem zangu
Nigger iam crazy in love with my Angel's find your own girls



Wa kishua
Naiona DISCO semester ya kwanza ikikunyemelea kama utaenda kuendekeza upuuzi huu chuo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa atakuwa msukuma... In sukuma's voice..wabejaaa ngosha komaa nao nao wakuachie bhoke wako[emoji16][emoji16][emoji16]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom