Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
- Thread starter
- #301
Tuliza mshonodogo kuwa na heshima,
halafu nakushauri tu kabla ya kuwajibu watu ovyo jaribu hata kuangalia wamejiunga lini JF na pia jaribu kuangalia thread walizoanzisha au walizochangia utamwelewa ni mtu wa namna gani.
Sasa wewe huu uzi wako unaona kabisa ni wa maana?
Aisee we # Cookie seriously kama content quality controller wa JF embu pitieni thread kama hizi za kipumbavu ziondoeni mnashusha hazi ya JF na watoto kama hawa watafutiwe jukwaa lao au wapigwe ban.
Na we dogo lazima ukose mkopo usote tu kitaa shenzi kabisa huwezi kuniambia mimi eti na wivu wa kike, kwa lipi hasa la maana kutoka kwako sasa kama wewe unajiita wa kishua, Mimi kwa taarifa yako ni Mshua mwenyewe
Wa kishua