Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
KwikwikwikwiKesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Mbwa mkali kwao unaona kilichomtokea ahly sudani leo kaponea chupuKosa la kiufundi linaloweza kuicost Simba ni kuzembea kumchapa Merreikh kwao wakati walikuwa wana uwezo wa kumfunga Merreikh sasa ona inamlazimu hii mechi akaze misuli kama John Cena ili atoboe maana nina uhakika tukipigwa hapa Vita atavuka kundi hili akiwa wa pili maana uwezo wa kumfunga Aly Ahly kwao ni mdogo sana
Nakuomba uje huku,ulisemaje maana nimezeekaKesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Hii komenti tuijengee mnara, maandishi take tuyaandike kwenye bango kubwa yawe kivutio cha utaliiYeah na kesho hiyo hiyo uto ya mwakalebela ndiyo mtajua kumbe Simba sio level yenu ila ni timu kubwa barani Africa.
Ulikuwa unasema??Fafanua!!!Kesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Kesho Simba watagundua kwamba kumbe pilau lao chini lina mchanga kama sio kokoto
Halftime alijitahidi kukaza ila second half alichofanywa Aibu naona mimiWakuu,
Kwa ufupi sana kuna kila dalili Vita wanaweza kutushangaza kuliko walivyowashangaza Al Ahly kule Cairo. Wamejiandaa kwa hii mechi kuliko walivyowahi kujipanga kwa muda mrefu kwa mujibu wa media za Kinshasa.
Simba wasahau rekodi zao za kwa Mkapa hatoki mtu, Simba wajiandae na game ngumu ambayo hawajawahi kukutana nayo pale kwa mkapa kwa muongo mmoja uliopita.
Simba watashinda hii game kama spirit za wachezaji zipo juu sana. Mbinu si tatizo bali ari ya wachezaji. Kocha wa Simba ni fundi wa hizi game lakini kesho will have the real test.
Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania [emoji120]