Onyo kwa timu ya Simba dhidi ya mechi ya Vita club

Onyo kwa timu ya Simba dhidi ya mechi ya Vita club

Kosa la kiufundi linaloweza kuicost Simba ni kuzembea kumchapa Merreikh kwao wakati walikuwa wana uwezo wa kumfunga Merreikh sasa ona inamlazimu hii mechi akaze misuli kama John Cena ili atoboe maana nina uhakika tukipigwa hapa Vita atavuka kundi hili akiwa wa pili maana uwezo wa kumfunga Aly Ahly kwao ni mdogo sana
Mbwa mkali kwao unaona kilichomtokea ahly sudani leo kaponea chupu
 
Yeah na kesho hiyo hiyo uto ya mwakalebela ndiyo mtajua kumbe Simba sio level yenu ila ni timu kubwa barani Africa.
Hii komenti tuijengee mnara, maandishi take tuyaandike kwenye bango kubwa yawe kivutio cha utalii
 
Badala ya kuonya uongozi wa Yanga kwamba wasipokuwa makini simba anachukua ubingwa mara tano mfululizo wewe unawaonya simba kuhusu as vita. Ona sasa
 
Wakuu,

Kwa ufupi sana kuna kila dalili Vita wanaweza kutushangaza kuliko walivyowashangaza Al Ahly kule Cairo. Wamejiandaa kwa hii mechi kuliko walivyowahi kujipanga kwa muda mrefu kwa mujibu wa media za Kinshasa.

Simba wasahau rekodi zao za kwa Mkapa hatoki mtu, Simba wajiandae na game ngumu ambayo hawajawahi kukutana nayo pale kwa mkapa kwa muongo mmoja uliopita.

Simba watashinda hii game kama spirit za wachezaji zipo juu sana. Mbinu si tatizo bali ari ya wachezaji. Kocha wa Simba ni fundi wa hizi game lakini kesho will have the real test.

Mungu ibariki Simba, Mungu ibariki Tanzania [emoji120]
Halftime alijitahidi kukaza ila second half alichofanywa Aibu naona mimi
 
Back
Top Bottom