Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Nijuavyo kijana anaweza kuwa wa kike au wa kiume. Hivyo, ni marufuku kusema, "kijana na binti...", kutaka kulazimisha binti asiwe miongoni mwa vijana!

Mara utasikia, "kijana ambaka binti...".
Vijana waaswa kutooa mabinti wenye watoto..."

"Binti usitikise sana makebo upitapo mbele ya vijana..."

Nyambafu!

VIjana wangu Seran, ShesRise_1, Nomadiq, realMamy karibuni sana!
 
Sawa katibu wa bakita 😅😅

Ila watu m naojidai mnajua kiswahili fasaha na kamusi zake sijui hua mnajionaje

Utasikia Gnz wanakidogosha kiswahili
What the fvck?! 😅
Mimi siyo kwamba najidai kuwa nakijua kiswahili, bali nataka tu kuondoa huu ubaguzi. Ati, kijana ni wa kiume peke yake.

Kijana ni wa jinsia zote 😎.
 
Dah hilo neno MAKEBO mmelipigia promo mpaka kwenye maisha yangu ya kawaida limenikaa, juzi napiga piga makalio ya mhudumu bar namwambia una makebo mazuri 🤔
 
Dah hilo neno MAKEBO mmelipigia promo mpaka kwenye maisha yangu ya kawaida limenikaa, juzi napiga piga makalio ya mhudumu bar namwambia una makebo mazuri 🤔
Hadi mama yangu mwenye miaka 63 analijua hilo neno 😅. Sijui kalisika kwa nani.
 
Back
Top Bottom