Onyo kwa wanahabari: Ni marufuku kusema, "kijana na binti..."

Sijui mada yako inahusu nini ila
Leo nimekutana na Paskali Mayala jijini Dodoma.
 
Hivi kweli unaweza ukasema au ukaandika kwenye habari namna hii 😜...
........

Vijana ambao hawana makebo makubwa wametakiwa kujiamini na kutambua kuwa nguvu waliyonayo ndani ya Jamii ni kubwa sana.

Wito huo umetolewa Mkoani Pwani,Wilayani Kisarawe na Katibu wa Vijana wasio na Makebo makubwa nchini wakati wa semina ya kuwajengea uwezo vijana hao na kuwataka wasikate tamaa.

Ameongeza kuwa kutokuwa na Makebo makubwa kusiwafanye vijana hao kushindwa kujiamini hususan watembeapo barabarani.😜

Nae kijana mmoja asiye na Makebo makubwa amewataka vijana wa kiume kutowanyanyapaa Vijana wa kike wasio na Makebo makubwa kwani hawakupenda kuwa hivo.

Hivi unajua wewe ni mchokozi sana😅😅😅😅😅
 
kijana ambaka kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…