ONYO kwa wanaonunua simu humu

Naitaji iphone 6
na exchange na tecno phantom 5 na pesa au digital camera 2
 
point taken.... mimi huwa sipendi kabisa mambo ya kununua simu aliyotumia Mtz tena mweusi ongeza na roho mbaya
 
Wengi ya wauzaji wanazingua, mmojanilimwomba sifa za simu anayouza akanitajia link,
 
Wengi ya wauzaji wanazingua, mmojanilimwomba sifa za simu anayouza akanitajia link,
taya ya smu ununue mpya na yenye warranty lakin ndugu zangu wingi wanapenda vitu ya bei rahisi matokeo yake ndo hayo nunua ktu hata kama kitaongezea mara moja moja yake ukiona pesa haifiki subiria mpaka upate utanunua siku hazilingani
 
[emoji346]brand new infinix S4 for sale

DISPLAY6.21" (15.77 cm)
STORAGE32 GB
CAMERA13MP + 8MP + 2MP
BATTERY4000 mAh
RAM3 GB
bei 360,000tsh
ni mpya na ina warranty mwaka mmoja#
location china plaza uhuru road
wahtsapp no [emoji338]0738929307
 
point taken.... mimi huwa sipendi kabisa mambo ya kununua simu aliyotumia Mtz tena mweusi ongeza na roho mbaya
Sio wote. Mfano mm nauza simu used from India na nyingi ni matoleo mapya tu. Kuuziwa simu mbov kunatokana na kutokuitambu simu ni yalin. Mfano mtu unakuta miaka hi unatafuta s7 au s6 simu za 2015 unategemea ukute sio kimeo????
 
Naitaji iphone 5
Na iphone 6 bei iwe za kuuza mikononi sio za dukani
 
Hongera kwa kuwa makini, watu wanafanya ubabaishaji wa hali ya juu.

#Umakini bado unahitaji.
 
watu bhana ivi born town kwel unaenda kununua cm Tanganyika. Simu za wizi kabsa tena una uziwa uku mme jificha
 
*sale sale sale sale*
brand iphone 6 plus
storage: 16gb
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 430k

brand iphone 6 plus
storage: 64
colour: gold/space grey
condition: brand new fulbox
price: 480k

Simu zinakuja na warranty ya mwaka mmoja delivery inapatikana. karib sana dukani

mawasiliano:
0679081945

maduka yetu yapo kariakoo,sinza,makumbusho na kinondoni studio.... delivery tunafanya kwa dsm vilevile mikoan tunatuma
 
Simu tu unashangaa,je,wanaonunua magari kutoka watu utashangaa au kunya kabisa?Toa ushauri,vitu vingi tu vinanunuliwa kutoka kwa watu sio simu pekee!?

Bure kabisa wewe.
Mie kwanza huwa nashangaa mtu unanunuaje simu kwa mtu wakati maduka yapo!
 
Nshanunua saaana simu ntandaoni na hii ninayotumia A9 pro nimenunua mtandaoni na sijutii kamwe,

Nshanunua gari, tv, spares za magari, saa, viatu and the like mtandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…