ONYO kwa wanaonunua simu humu

ONYO kwa wanaonunua simu humu

#Nipedili wadau Nina shida na screen ya Samsung A 5( 2017) Kama una Samsung iliyo aribika tafadhalinl kuja tufanye Bussines. Au Kama unamjua mtu mwenye aina hiyo ya simu na screen ni nzima please ni connect naye
 
Tecno spark 2 GB 16 sh 160k imenyooka haina kipengele ipo mwenge-dar njoo ujioneeView attachment 1674744View attachment 1674745
IMG_20201222_110930.jpg
 
Tecno spark 2 GB 16 sh 160k imenyooka haina kipengele ipo mwenge-dar njoo ujionee 00672904720
 
Today at 9:39 PM
#13,963
Habarini wakuu

Nahitaji Apple Watch series ya 3 au ya 4 used
Kama unayo njoo PM na bei&picha
Asanteni
 
IMG_2340.jpg
i phone 7 plus

Gb128

Price 550,000/=

Location dodoma Area c

Fingerprint [emoji736]
Charger[emoji736]
Earphones [emoji736]

Exchange allowed na hela
 
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers, lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu. Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
 
Ushanyooshwa nini kiongozi.
 
Na pia wana account nyengine instagram zanzibar_general_suplier_2021 ndio walewale.
 
N
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers, lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu. Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza

Ndugu upo.?
Heri ya mwaka mpya
Asante heri ya mwaka mpya nawe pia jirani..

Nilipotea kidogo lkn sasa nimerudi nipo.

Habar za siku
 
IMG_0644.jpg

IPHONE XS MAX [emoji336]
256GB, BLACK [emoji1665]
BATTERY 97% [emoji367]
CLEAN AS NEW [emoji91]
TSH 1,250,000/=
6 MONTHS WARRANTY [emoji1666]
0714 981607 [emoji3513]
0758 294766 [emoji338]
RELAX; FREE DELIVERY WITHIN DAR ES SALAAM [emoji1631]
 
Back
Top Bottom