ONYO kwa wanaonunua simu humu

Ipo camon 11 hapa
Wakuu inae inae hiyo krek upande wa kulia juu
Niliinununa mwenz wa 11 tarehe 2 bado n mpya na nikaidondosha ikapasuka ikiwa na wiki 1 na siku 3 tuu
Sasa nataka kuiuza
Nipo Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IPHONE 7 32gb for sale


Little kreki kwa chini(ukiweka protector hazionekni)
Battery 100%
Simu condition A
Fair price 430,000(fixed)
NO EXCHANGE
0714411282


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo thread ishapigwa stiki tayari kila mgeni anaona....tunafanyeje sasa
 
Sio wote. Mfano mm nauza simu used from India na nyingi ni matoleo mapya tu. Kuuziwa simu mbov kunatokana na kutokuitambu simu ni yalin. Mfano mtu unakuta miaka hi unatafuta s7 au s6 simu za 2015 unategemea ukute sio kimeo????
Unaweza kunitafutia blackberry passport used lakn OG sio refurbished
 
Cover waterproof za simu.
[emoji93] Haziingizi maji na unaweza kutumia simu ukiwa kwenye mvua au unaogelea.
[emoji93]Zinafaa kwa smartphone za aina zote.
[emoji93]Bei 8000sh kwa piece moja.
[emoji93] Waliopo Dar unaletewa popote ulipo na mikoani tunatuma.
[emoji93]Kwa maelezo zaidi tutafute kwa simu namba 0762370433 au WhatsApp +8618454122335
View attachment 1520352View attachment 1520353
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…