Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu toa habari ki Great thinker! Ni member gani na ilikuwaje? Utatusaidia na wengine.
Mimi nina laptop HP NAUZA CONTACT ME setysanga@gmail.com
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine,
ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu,
simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia anakitupia huku,
juzi kuna jfmember nusu nimpeleke polisi kama si huruma iliyonijia ghafla,
wengi wanauza vimeo vilivyoshindikana au cm za kuungaunga kwa mafundi!
USHAURI:Tuache uvivu twende madukani,simu mpya na guarantee bei rahisi,tupunguze tamaa za kupata vitu vizuri kwa bei za kutupa
Bora tumejua
jaman siyo wote siyo lazima ununue simu mpya dukan unaweza ukanunua hata mkonon mwa mtu huu ni ubunifu wa kibiashara!mim nauza samsung galaxy S4 ipo ndan ya box na kila kitu chake.contact +255762205187
Kweli usipotoshe watu,mimi nmeshanunua cm km mbili jf ba zote ziko poa na mpaka leo natumia na bei ya kuridhisha kabisa
hebu toa pumba zako huko,kama we hujakutana nayo kaa kimya!ila soma vizuri thread za jukwaa hili juzi kuna mtu amenusurika kupigwa laptop,we kaa hivyohvyo kama zombi mpk yakukute