ONYO kwa wanaonunua simu humu

Embu toa habari ki Great thinker! Ni member gani na ilikuwaje? Utatusaidia na wengine.

@lara hata hiyo inatosha bhana, wa kuelewa ameelewa na kama mtu hajaelewa basi asubiri yamkute tu.
 
Inategemea ntu na ntu. Mimi nilinunua blackbery kutoka kwa member humu @ marty mpaka leo inapiga kazi.

My take. siyo kila mtu humu anauza vitu feki
 
Bora tumejua
 
jaman siyo wote siyo lazima ununue simu mpya dukan unaweza ukanunua hata mkonon mwa mtu huu ni ubunifu wa kibiashara!mim nauza samsung galaxy S4 ipo ndan ya box na kila kitu chake.contact +255762205187

Shilling ngap??
 
HAPA UMESEMA kweli kunawengine wanauza vitu feki humu.Wana JF tubadilike basi tuliboreshe jukwaa letu.
 
mimi naona hakuna tatizom,. kama simu utaikagua kwanza sawa,,.,, lakini usikurupuke,. hio ni hali ya kawaida,. microsoft wameuziwa kampuni ya nokia.... (wasingeanzisha yao?)
 
Kweli usipotoshe watu,mimi nmeshanunua cm km mbili jf ba zote ziko poa na mpaka leo natumia na bei ya kuridhisha kabisa
 
Kweli usipotoshe watu,mimi nmeshanunua cm km mbili jf ba zote ziko poa na mpaka leo natumia na bei ya kuridhisha kabisa

hebu toa pumba zako huko,kama we hujakutana nayo kaa kimya!ila soma vizuri thread za jukwaa hili juzi kuna mtu amenusurika kupigwa laptop,we kaa hivyohvyo kama zombi mpk yakukute
 
hebu toa pumba zako huko,kama we hujakutana nayo kaa kimya!ila soma vizuri thread za jukwaa hili juzi kuna mtu amenusurika kupigwa laptop,we kaa hivyohvyo kama zombi mpk yakukute

Kila mtu na akili yake boya ww,maboya km nyinyi acheni mpigwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…