The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Sizungushi. Kichwa cha habari kiko wazi. Hivyo, ndiyo itakavyokuwa.
Hivyo, watanganyika wanaotumika na kuuza uhuru na utu wao, waache mara moja.
Mtaachwa na Tanganyika yenu na watu wake kwa vile yeye atatimkia kwao au kwa mabwana zao kule Uarabuni ambako wanatoka wengi wa wachukuaji wetu waliokuja kama wawekezaji.
Mjue na kutahadharinini ndugu zanguni.