Onyo la Kongosho kwenye kiwanja chake

ha ha ha, ujue hiki kiwanja changu dili sana?
Kiko karibu na Genji(mmiliki wa vivuko)

ila jamani nimesoma kayumba itabidi mnielewe tu.

Usikute kiko karibu na "kilabu" cha mataputapu!
 
he he he he, badili tabia, ujue ile mipweint huwa naamua kuimwaga kwa ID yangu ya EMT, mie kipanga hasa kule siasa.

Angalizo: Modi msije mkaunga ID natania tu maana kuna siku yangu iliungwa ya Buchanani afu ikatenganishwa. (natania tu hata hivyo hapa ni chit chat 🙂)
@ma2mbo,
unamaanisha EMT ni Kongosho?
 

Mie naona waunganishe tuu hizo ID halafu password iendelee kuwa ya EMT ili niweze kusoma PMs zako.
 
Mtoboasiri, nataka kukutoga sikio?

Na mataputapu nakupa bure.

Kongosho, kuna uhusiano gani kati ya mataputapu na sikio? Naomba uniambie mlichokuwa mnakunywa usiku huu (na yeyote ulie/uliekuwa nae) ili nami kesho nikanywe! Na ukiniambia nitam-covince "kibogoyo" mwenzio Mwali tukanywe nae.
 
Last edited by a moderator:
ujue mataputapu yanaongeza nguvu za maskio.

Ndo hivo.

Kongosho, kuna uhusiano gani kati ya mataputapu na sikio? Naomba uniambie mlichokuwa mnakunywa usiku huu (na yeyote ulie/uliekuwa nae) ili nami kesho nikanywe! Na ukiniambia nitam-covince "kibogoyo" mwenzio Mwali tukanywe nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…